Padre Kitima aitumia TEC vibaya

Wewe fala, tumeshaambiwa magari mangapi yamechomwa moto, pikipiki, police post, mwendakasi, sasa tunataka tujue wamekufa vijana wetu wangapi na pia tunataka tujue hao waliokufa ambao wazazi wao hawajapata hadi sasa wako wapi?
 
Wewe fala, tumeshaambiwa magari mangapi yamechomwa moto, pikipiki, police post, mwendakasi, sasa tunataka tujue wamekufa vijana wetu wangapi na pia tunataka tujue hao waliokufa ambao wazazi wao hawajapata hadi sasa wako wapi?
Wazazi ndiyo mafala. Wakati watoto wao wanajirekodi TIKTOK kuwa wataandamana, hawakuchukua hatua kuwakanya.
 
hawa nzi wa kijani wao point yao ni mali mali mali mali za serikali serikali ni sisi wewe inakuuma nini tukichom kodi zetu? u ataka kusema hizo mali unazosemea ni nyingi kuliko wanazovuna hao wachumia utumbo mpana??
 

Kitima na Mama Samia nani ana aminiwa na watanzania?
 
Were bwana madhumuni yako ni kutaka kudistract watu KUTOKA kwenye ukweli wa matatizo tunayokabiliana nayo kama nchi. Sio Kweli kuwa father Kitima anatumia jukwaa la TEC kueneza maoni yake binafsi!! Kama katibu mkuu wa TEC father Kitima yeye ni msemaji mkuu wa Kanisa katoliki nchini kupitia maaskofu wake na hutamka tu yale kanisa katoliki inaona yanasaidia ustawi wa jamii tunamoishi!! Hiyo ndio kazi yake, hayo mengine unayosema wewe ni uzushi kumfurahisha tajiri yako.
Your aim is to try and kill the messenger!!
 
Bulesi hulijui kanisa kaa kimya
 
Bulesi hulijui kanisa kaa kimya
I think I have read enough about Catholicism ; mpaka nimeshawishika kuwa muumuu wake! Samia hakuballki ndani na nje ya nchi sio kwasababu ya Dini yake bali kwasababu ya utawala wake mbovu, and that is why she is being called out and not because of her faith!
 
Hivi TEC ndio wanaoua waTanzania?

TEC ndio wanaolazimisha Samia awatawale kwa mabavu waTanzania?

Hata kama hii ajensda ya kuleta mfarakanyo kati ya waTanzania mmekuwa na yo skiku nyingi sana, sasa Samia kawapa uwanja wa kuonyesha uhasama mliokuwa nao siku nyingi (tokea uhuru).

Ngoja tuone mtatufikisha wapi safari hii.
 
Mithali 26:4
Nilikutambua mapema sana baada ya kuona unajipambanua zaidi na zaidi, baada ya kule kujifichaficha ulikokuwa ukikufanya na mada za kitakwimu huko nyuma.

Huo "ulevi" wa dini unawaharibu akili sana, hata watu ambao mngeonekana kuwa na akili nzuri tu kama binaadam wengine.
 
Mlianza kuteka na kuua kabla hata maandamano, leo wapenda haki wakiongea mnawaita wachonganishi, Padre Kitima hapohapo endelea kupigilia hakuna kurudi nyuma,December 9 maandamano
 
Nani alitoa ruhusa ya kuua wandamanaji hovyo na wasio wandamanaji tarehe 29 Oct?
 
Inashangaza sana kuona Watanzania mnatetea uovu unaofanywa dhidi ya raia.

Akitokea mtu kusimama upande wa wananchi lazima awe adui yenu.

Mnapenda machawa, mnapenda kusifiwa wakati uwezo wa kuongoza ni mdogo.

Mnachoweza ni kuteka na kuua raia.

Bahati nzuri hotuba ya wazee ya Darisalama imetuonesha nani anaratibu huu upuuzi wote.
 
Kitima anatetea masilahi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…