The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,698
Du sijui kama nakuelewa kwa ukichaa huu utokanao na uchawa kupitiliza!Fr Kitima atumie akili yake vizuri. Askari anakuja na risasi na hao anaowasema wamekufa wanakuja na mapanga na kurusha mawe kwanini askari asiwashe risasi? na Kitima anakiri ni tarehe 30/10, kwanini watoke nje na serikall imesema wote ndani?
Mbona yeye hukutoka? Halafu anasema wakiri wameuwa watu je na wenye mali nao waje wakiri mali zao kuharibiwa au? Yaani unakuwa kiongozi halafu unahamasisha wahuni wavamie wewe umekaa kwako kimya. Eti kukiri watu wameuwawa we unajuwa uchungu wa kufiwa na ndugu wewe Kitima?
Uchambuzi wa matamko yake unaonyesha kuwa yeye ndiye anayetambulika zaidi kuliko hata Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa wa Jimbo la Lindi, au maaskofu wengine kama Askofu Eusebius Nzigilwa wa Mpanda. Vyombo vya habari kama BBC, Vatican News viliripoti kuhusu "padri mpinzani wa serikali" kama Kitima, wakati maaskofu wengine walibaki nyuma ya pazia la kanisa.
Umaarufu huu unaweza kuonekana kama ushindi, lakini una masuala. TEC ni baraza la maaskofu, si ofisi ya mtu mmoja. Kitima, kama katibu tu, anapaswa kuwa msaidizi wa maamuzi ya pamoja. Lakini matamko yake ya mara kwa mara—kama ile ya Novemba 15, 2025, kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu—yamekuwa na sauti ya kibinafsi, na hivyo kufifia umoja wa baraza.
Mmepora uchaguzi, mkajisikima madarakani kwa nguvu,mmeua watanzania elfu 23 plus,mmewafukia kama kuku waliokufa na kideli,na isitoshe mmewanyima watu wasizike miili ya wapendwa wao,wewe chawa wa samuya na genye lenu hivi nyinyi na sokwe mnapishana nini??Fr Kitima atumie akili yake vizuri. Askari anakuja na risasi na hao anaowasema wamekufa wanakuja na mapanga na kurusha mawe kwanini askari asiwashe risasi? na Kitima anakiri ni tarehe 30/10, kwanini watoke nje na serikall imesema wote ndani?
Mbona yeye hukutoka? Halafu anasema wakiri wameuwa watu je na wenye mali nao waje wakiri mali zao kuharibiwa au? Yaani unakuwa kiongozi halafu unahamasisha wahuni wavamie wewe umekaa kwako kimya. Eti kukiri watu wameuwawa we unajuwa uchungu wa kufiwa na ndugu wewe Kitima?
We mpuuzi aliyesema atakinukisha hakutendewa haki hata hivyo kipindi kinanuka yeye alikuwa gerezani ! angewezaje kushawishi vijana wakinukishe hali ya kuwa yupoo ndani !!? Kama yeye ana ushawishi wa kiasi hicho serikari yako imekosa vipi huo ushawishi?Padre Kitima ni mtu msomi na tunaamini ni mcha Mungu na ni mtumishi wa Mungu. Cha kunishangaza mpaka sasa hajui kuna mkuu wa kikundi alihamasiaha tarehe 29/Oktoba tunakinukisha na kweli 29-30 kilinuka. Sijui Baba Padre hiyo kauli hakuisikia au hakujua ilikuwa inamaanisha nini ? Hero kinga kuliko tiba TEC walikuwa wapi wakati mgogoro unaanza kwanini hawaluweza kukemea?
Acheni kuchochea vurugu, muogopeni Mungu nyie TEC. Ipo njia ya kujenga au kukosoa kwa hekima bila kuchochea maana walio kufa pia wamesababisha wao kwa kuiba na kuharibu mali za watu kwa makusudi na hali watu wamehangaika kwa miaka mingi kujenga uchumi wao ili kuhudumia wanao wategemea, leo wahuni wanao jiita waandamanaji wamepora mali za watu na kuharibu mali za umma vipi watizamwe tu na wanaharibu kwa ukubwa huo.Kuna chombo maalum cha kubatiza maandamano haya yawe Haramu haya yawe halali? Na kama maandamano yalikuwa Haramu kwa nini msiyaite jina Hilo (maandamano Haramu) badala ya kuziita Vurugu? Madagascar wakati wananchi wanakusanyika na kumwondoa Rajolina Madarakani serikali iliita zile ni Vurugu kama ninyi mnavyofanya, lakini haiondoi ukweli kwamba yale ni maandamano whatever you call it.
We hukusoma waraka waliokuwa wanatoa...mwenyew kakir kuwa mwez march walishaur serkali kuhusu mienendo ya utekajHuyu padri ni mpumbavu na mjinga sana KANISA lilikuwa na uwezo wa kuzuia aya yasitokeee lakini halikusimama kama kanisa. Limebaki na machuki na mihemko ya kisiasa, yametokea yaliyotokea wamebaki kulaumu tu vifo, vifo, vifo. Kwenye huu mgogoro hakuna mshindi si SERIKALI wala KANISA cha msingi watu wasahau yaliyopita tugange yajayo
Uhai wa mwizi na mharibifu wa miundombinu una thamani ndogo sana. Unamuibia mtu mali kaitafuta miaka 30 labda? Hiyo si ni sawa na kumuua tuSidhani kama kuna chenye thamani kuliko uhai wa mtu akili Yako ni kama hao viongozi wako alichoongea kitima ni uhai wa watu uliyo pokwa na hao waliojiweka madarakani huwezi kufananisha kituo Cha mwendokasi na miili ya watu iliyojazana kule mortuary
Je wamewahi kuwaonya CHADEMA kuhusu kuzuia uchaguzi kwa kauli ya NRNE?We hukusoma waraka waliokuwa wanatoa...mwenyew kakir kuwa mwez march walishaur serkali kuhusu mienendo ya utekaj
J ila wakaweka pamba maskion..sasa leo unakuja hapa kurusha tako moja wkt unajua kabisa serikal dhalimu ilikataa kupokea ushaur
Mimi siyo BAKWATA. Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe Lakini sikubaliani na msimamo wa TEC kwenye mambo ya Serikali, ni Fr Kitima ndiyo anawapotezaKwa hiyo mashekh wenu wakiitumia BAKWATA kuitetea serikali na kutishia kukata watu vichwa wao hawaitumii BAKWATA vibaya, ila Father Kitime akitoa maoni yake kuhusiana na kile kinachoendelea kwenye jamii yetu ambacho hakiwapendezi nyie watesi mnamuona anaitumia TEC vibaya?
Nyie watu ni wapumbavu sana, msitegemee kuona watu wakikaa kimya kwa huu unyama mliofanya eti kisa mnalindwa na mabunduki.
Mimi siyo BAKWATA. Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe Lakini sikubaliani na msimamo wa TEC kwenye mambo ya Serikali, ni Fr Kitima ndiyo anawapotezaKwa hiyo mashekh wenu wakiitumia BAKWATA kuitetea serikali na kutishia kukata watu vichwa wao hawaitumii BAKWATA vibaya, ila Father Kitime akitoa maoni yake kuhusiana na kile kinachoendelea kwenye jamii yetu ambacho hakiwapendezi nyie watesi mnamuona anaitumia TEC vibaya?
Nyie watu ni wapumbavu sana, msitegemee kuona watu wakikaa kimya kwa huu unyama mliofanya eti kisa mnalindwa na mabunduki.
Matakwa ya chadema ya NRNE yako wazi kabisa ..mwenyew unajua muundo wa tume ulivyo batili...hapa sina la kuongeza maana mwenyew ukikaa na kujitafakar unaona kabisa hamna tume paleJe wamewahi kuwaonya CHADEMA kuhusu kuzuia uchaguzi kwa kauli ya NRNE?
Vipi yule aliyesema atakata watu vichwa mlimshughulikia?Padre Kitima ni mtu msomi na tunaamini ni mcha Mungu na ni mtumishi wa Mungu. Cha kunishangaza mpaka sasa hajui kuna mkuu wa kikundi alihamasiaha tarehe 29/Oktoba tunakinukisha na kweli 29-30 kilinuka. Sijui Baba Padre hiyo kauli hakuisikia au hakujua ilikuwa inamaanisha nini ? Hero kinga kuliko tiba TEC walikuwa wapi wakati mgogoro unaanza kwanini hawaluweza kukemea?
Sawa,kumfahamu na kujua hoja yake ya sasa ni vitu tafauti.Pole ikurudie wewe mwenyewe. Namfahamu Fr Kitima tangu akiwa Rector wa SAUT
Ninacho kijua na kukiamini ni kwamba,Yesu Kristo hakuwahi hubiri wanachokihubiri hawa TEC katikati ya sehemu iliyopoteza amani. Na bado ninaamini watumishi wa Mungu wa kweli ni wale wanao kesha kumuita Mungu aiponye na kuipa amani nchi iliyopoteza amani. Cha ajabu hawa TEC tangu mwanzo ni kuchochea vurugu tu.Ulitaka maaskofu wote wasimame waongee sentensi moja mbele ya microphone moja kama vile wanaimba kwaya ndio uone kwamba ni sauti moja ya Kanisa? Kitima ni katibu mkuu wa TEC na anasema kwa kuwakilisha TEC.
Hiyo 23,000 ya Watanzania waliouliwa umeipataje?Mmepora uchaguzi, mkajisikima madarakani kwa nguvu,mmeua watanzania elfu 23 plus,mmewafukia kama kuku waliokufa na kideli,na isitoshe mmewanyima watu wasizike miili ya wapendwa wao,wewe chawa wa samuya na genye lenu hivi nyinyi na sokwe mnapishana nini??