Padre Kitima aitumia TEC vibaya

Mtasema yote mwaka huu. Si mlijifanya mnajua kukaza makalio. Sasa tulieni dawa ziingie.
 
Enendeni mkamteke ili aache kuitumia TEC vibaya
Walioua ni waandamanaji na polisi, sasa cha kushangaza hapo ni nini ??

La msingi kila kundi lisema limeua wangapi. Waandamaji waseme wameua wangapi na majeshi yetu yatasema wameua wangapi. Kisha itajumlishwa halafu tutapewa idadi

Waandamaji waliochoma vituo vya polisi na kuchukua silaha na waliua, kwa hiyo waende kuungama kwa kanisa
 
Kuna chombo maalum cha kubatiza maandamano haya yawe Haramu haya yawe halali? Na kama maandamano yalikuwa Haramu kwa nini msiyaite jina Hilo (maandamano Haramu) badala ya kuziita Vurugu? Madagascar wakati wananchi wanakusanyika na kumwondoa Rajolina Madarakani serikali iliita zile ni Vurugu kama ninyi mnavyofanya, lakini haiondoi ukweli kwamba yale ni maandamano whatever you call it.
 
Sidhani kama kuna chenye thamani kuliko uhai wa mtu akili Yako ni kama hao viongozi wako alichoongea kitima ni uhai wa watu uliyo pokwa na hao waliojiweka madarakani huwezi kufananisha kituo Cha mwendokasi na miili ya watu iliyojazana kule mortuary
 
Usichanganye TEC na Kitima.
Jana Kitima kaongea kama Raia wa kawaida akitoa maoni yake, na SI kama TEC au Kanisa.
KANISA lilikuwa na uwezo wa kuzuia aya yasitokeee lakini halikusimama kama kanisa. Limebaki na machuki na mihemko ya kisiasa, yametokea yaliyotokea wamebaki kulaumu tu vifo, vifo, vifo. Kwenye huu mgogoro hakuna mshindi si SERIKALI wala KANISA cha msingi watu wasahau yaliyopita tugange yajayo
 

Mbona hukungumzia Serikali kuonywa na haikusikia?

Ni rahisi zaidi kuishawidhi serikali ikasikia kuliko kushawishi vijana wenye background tofauti na mawazo tofauti.
 
Tujuze Polepole yuko wapi, tuanzie hapo.
Inaelekea unajua.
Polepole alikuwa Cuba ambapo alikuwa Balozi. Alijiuzulu kazi ya Ubalozi na kuanza kuishutumu Serikali akiwa Cuba. Polisi walitoa taarifa kuwa wanamhitaji afike kituo cha Polisi ili wakamhoji kuhusu tuhuma zinazomhusu.

Officially Polepole hajarudi Tanzania
 
La msingi wauwaji na aliye watuma wakamatwe mnawasukumia mzigo akina nani? Yani unajiita kiongozi umeikalia KITI na unaendesha genge la wauwaji?
 
Padre Kitima ni mtu msomi na tunaamini ni mcha Mungu na ni mtumishi wa Mungu. Cha kunishangaza mpaka sasa hajui kuna mkuu wa kikundi alihamasiaha tarehe 29/Oktoba tunakinukisha na kweli 29-30 kilinuka. Sijui Baba Padre hiyo kauli hakuisikia au hakujua ilikuwa inamaanisha nini ? Hero kinga kuliko tiba TEC walikuwa wapi wakati mgogoro unaanza kwanini hawaluweza kukemea?
 

Kwa hiyo kazi ya serikali ni nini? Au iko likizo KIZIMKAZI....!? Kwa hiyo jeshi likuwa na kazi ya kuua? Mbona CNN walipotoa documentary Msigwa alilalamika hawakupewa nafasi ya kujibu?
 
Unasemaje mvaa Kobasi? Nyie wavaa kobasi hakuna kitu kingine mnajua zaid8 ya Udini.
 
Toka lini kuandamana limekuwa kosa hadi watu waonywe??
 
Pole mkuu, hujaelewa point yake.
 
Fr Kitima atumie akili yake vizuri. Askari anakuja na risasi na hao anaowasema wamekufa wanakuja na mapanga na kurusha mawe kwanini askari asiwashe risasi? na Kitima anakiri ni tarehe 30/10, kwanini watoke nje na serikall imesema wote ndani?

Mbona yeye hukutoka? Halafu anasema wakiri wameuwa watu je na wenye mali nao waje wakiri mali zao kuharibiwa au? Yaani unakuwa kiongozi halafu unahamasisha wahuni wavamie wewe umekaa kwako kimya. Eti kukiri watu wameuwawa we unajuwa uchungu wa kufiwa na ndugu wewe Kitima?
 
Ulitaka maaskofu wote wasimame waongee sentensi moja mbele ya microphone moja kama vile wanaimba kwaya ndio uone kwamba ni sauti moja ya Kanisa? Kitima ni katibu mkuu wa TEC na anasema kwa kuwakilisha TEC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…