News Alert: Padre anamtongoza wife

Ndio maana sitaki kujali kila nikienda church nilikaa mlangoni tu katika mbio balaa, Roho wangu mtakatifu ananikinga na wahuni hao.
 
Hii nimeambiwa na jmaa angu wa karibu kwamba hivi punde mkewe aliongeza uchamungu from nowhere ,mara anaenda masifu mara kajiunga kwayaa ilimradi hakauki church basi ,jamaa hakuhofia lolote akidhani wokovu wa bwana umeingia malangoni pake .

Sasa sikumoja jamaa akaingia tu machale baada ya kutoka kanisani mkewe akangangania kubaki kwamba anahudumu jamaa chapu akaazima gari ya rafiki na kurudi nayo muda mfupi gari ya padri ikatoka jamaa akiwa anafatilia akamuona mama watt akitoka kwa mguu akamfatilia hadi mtaa wa tatu hamadiiiii kakuta wife anaingia kwenye ile gari ya padre jamaa akashuka kulifata gari ,mara likaondoka kwa speed kali,jamaa kurudi kwenye gari hadi kuwasha washatokomea.

Kupigasimu simu ikapokelewa akamuuliza ukwapi akajibu nko njiani narudi,akahoji umefikia wapi simu ikakata na kuzima umbali kwa mguu hadi kwake ni dakika kama dakika 30 jamaa karudi home simu imezimwa 3 hours ,wife kuulizwa alikuwa wapi kajibu kwa dadake,na kimsimgi lazima ashapngwa.

Jamaa kampigi padre simu kumhoji kajibu mi nilikuwa sijui kama mke wako ,akmwambia anaomba asimwambie chochote mtu wayaongee ,Jamani hivi afnyaje nasema wife anaruka mita mia nne ht kupand gari tena mwanzo alojifanya ht hamjui kubanwa kasema huwa kama ananitaka hajantamkia,jamaa ni mkurya toka ikizu ,tarime nogopa hata kuonana na padre ataua,jamani afanyaje na wana watoto watatu.


Piga chini mkeo aolewe na padre.....hapo ndipo mkeo atajuwa kuwa alichezea shilingi chooni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom