News Alert: Padre anamtongoza wife

Kuna jamaa angu tulisoma wote form 1, na manzi mmoja ambae alikuja kuwa dem wangu nikiwa chuo.

Mimi na huyo manzi tulihama tukiwa form 1 lkn hatukuwa na ukaribu hadi tumekuja kutana chuo na mapenzi yakanzia huko.

Huyo jamaa yangu alikuwa anasomea upadri na alikuwa katika hatua za mwanzoni km miaka 2 hivi akiwa chuo cha upadri.

Sasa dem wangu alipoyeza sim kwa uzembe kabisa na sim hiyo nilimnunuliaga. Akaniomba nimwongezee pesa nikakataa.

Jamaa aliekuwa anasomea upadri akawa anamtafuta na kumtongoza kila siku, lkn jamaa hakujua km ninadate na huyu manzi.

Hazijaisha siku mbili naona manzi ana tekno C7 mpyaaa. Nikamwuliza umetoa wapi akasema dada ake kamwongezea pesa, kumbana akasema flani( ambae ni padri) kamnunulia.

Mi nikachukulia poa nikijua jamaa ni classment wetu hivyo hawez mnunulia simu kwa benefit. Nikapotezea.

Sasa bhana, siku hiyo tumelala zikawa zinaingia msg za WhatsApp kwenye sim yake, ikanibidi niangalie nani anasumbua usiku huu yeye akiwa kalala.

Dah, nilikuta mitongozo ya kufa mtu kwa huyo padri akilalamika manzi kamtapeli, walikubaliana akimnunulia sim atamzaaadia papuch.

Jamaa analalamika kafunga safari hadi dar kakudanganya kapata msiba ili aje kugegeda lkn kaambulia kuzimia sim.

Demu alimjibu atamtafutia ela yake bumu likitoka lkn hawez fanya kitu km hicho kwani an mtu anae mpenda na istoshe wewe ni padri.

Jamaa akazidi kulalamika bora asinge mwahidi kupewa papuch, mara njoo basi nikuone tu na mambo kibao.

Nilibaki kuduwaa, nikazima data na kulala.

Sikumweleza chochote, zimepita km siku tatu nikamwuliza una uhusiano gani na padri, nashangaa mtoto anaanza kulia, mwishoe akanieleza kila kitu.

Nilipotezea kwakua nilishajua ni mwaminifu.
Tulikuja achana kwa sababu za kijinga kabisa,
Ila mpka sasa hatutafutani japo anaeleza wenzie bado haamini km kaachana na Mangi

Siku hizi hakuna cha padri, sheikh wala mchungaji, wotr wahuni tuu
 
Hii nimeambiwa na jmaa angu wa karibu kwamba hivi punde mkewe aliongeza uchamungu from nowhere ,mara anaenda masifu mara kajiunga kwayaa ilimradi hakauki church basi ,jamaa hakuhofia lolote akidhani wokovu wa bwana umeingia malangoni pake .

Sasa sikumoja jamaa akaingia tu machale baada ya kutoka kanisani mkewe akangangania kubaki kwamba anahudumu jamaa chapu akaazima gari ya rafiki na kurudi nayo muda mfupi gari ya padri ikatoka jamaa akiwa anafatilia akamuona mama watt akitoka kwa mguu akamfatilia hadi mtaa wa tatu hamadiiiii kakuta wife anaingia kwenye ile gari ya padre jamaa akashuka kulifata gari ,mara likaondoka kwa speed kali,jamaa kurudi kwenye gari hadi kuwasha washatokomea.

Kupigasimu simu ikapokelewa akamuuliza ukwapi akajibu nko njiani narudi,akahoji umefikia wapi simu ikakata na kuzima umbali kwa mguu hadi kwake ni dakika kama dakika 30 jamaa karudi home simu imezimwa 3 hours ,wife kuulizwa alikuwa wapi kajibu kwa dadake,na kimsimgi lazima ashapngwa.

Jamaa kampigi padre simu kumhoji kajibu mi nilikuwa sijui kama mke wako ,akmwambia anaomba asimwambie chochote mtu wayaongee ,Jamani hivi afnyaje nasema wife anaruka mita mia nne ht kupand gari tena mwanzo alojifanya ht hamjui kubanwa kasema huwa kama ananitaka hajantamkia,jamaa ni mkurya toka ikizu ,tarime nogopa hata kuonana na padre ataua,jamani afanyaje na wana watoto watatu.
Jamaa yako uwezo wako wa kufikiri mdogo alitakiwa kutumia bodaboda akiwa amevalia helmeti mpaka awakamate sasa yeye anatumia gari.
 
Huudumu kanisani ni katoliki au kkkt ebu jaribu kufatilia kanisani vizur mana maelezo yako kama ni padre basi yana uongo mrefu wa kutunga bila mpangilio kama mchungaji uhudumu mpk jion usiku sawa
 
Kwenye stori yako unajichanganya... umenifananisha PADRI WA KIKATOLIKI NA MCHUNGAJI WAMAKANISA YA KILOKOLE...
uliyemaanisha ni mchungaji (kiongozi wa kanisa wa kilokole na siyo padre mkuu)
Yote kwa yote pole sana ndugu hayo ndo madhara ya haya makanisa yetu yanayochipuka kama uyoga ndugu kuweni macho...
Yeye na mke wake watubu warudi catholic na si tutampokea
 
"Kanisa utachomwa moto nakuapia"
Salamu kanisa wako mpendwa katika Bwana,
katika wana ulitaka kufeli nami nazama,
tangu jana uwepo wapo haupingiki,
kisa una nguvu kuwavuta wasiosadiki,
Kanisa unatudanganya kirahisi,
Usinishushe hadhi nikizini ikiwa unafuga wachungaji wenye dhambi kama mimi,
Kanisa nakupa pole, nje msafi ndani mchafu, naomba tusinyosheane vidole.

DIZASTA VINA!
 
Hakika umenielewa vyema..

"Kanisa nasikia unapande mbili za sarafu"

Umetisha kamanda wangu.
 
Sasa kutokuwepo kwa mungu kunahusiana vipi na hii maada
Ukiamini Mungu unamuamini Padre kama mtu wa Mungu hawezi kukufanyia mabaya.

Unajiachia. Anakufunga goli. Unashangaa inawezekanaje Padre mtu wa Mungu kakufanyia hivyo.

Mwanamke anafunguliwa mpaka zipu katika maombi. Padre anaombea mbunye, anaishikashika. Mwanamke analegea. Padre anapitisha kitu.

Usipoamini habari za Mungu hata muda wa kwenda kumsikiliza Padre huna na hivyo hapati hata pa kukuanzia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom