Padre anamtongoza wife

Padre anamtongoza wife

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,084
Reaction score
14,565
Hii nimeambiwa na jmaa angu wa karibu kwamba hivi punde mkewe aliongeza uchamungu from nowhere ,mara anaenda masifu mara kajiunga kwayaa ilimradi hakauki church basi ,jamaa hakuhofia lolote akidhani wokovu wa bwana umeingia malangoni pake .

Sasa sikumoja jamaa akaingia tu machale baada ya kutoka kanisani mkewe akangangania kubaki kwamba anahudumu jamaa chapu akaazima gari ya rafiki na kurudi nayo muda mfupi gari ya padri ikatoka jamaa akiwa anafatilia akamuona mama watt akitoka kwa mguu akamfatilia hadi mtaa wa tatu hamadiiiii kakuta wife anaingia kwenye ile gari ya padre jamaa akashuka kulifata gari ,mara likaondoka kwa speed kali,jamaa kurudi kwenye gari hadi kuwasha washatokomea.

Kupigasimu simu ikapokelewa akamuuliza ukwapi akajibu nko njiani narudi,akahoji umefikia wapi simu ikakata na kuzima umbali kwa mguu hadi kwake ni dakika kama dakika 30 jamaa karudi home simu imezimwa 3 hours ,wife kuulizwa alikuwa wapi kajibu kwa dadake,na kimsimgi lazima ashapngwa.

Jamaa kampigi padre simu kumhoji kajibu mi nilikuwa sijui kama mke wako ,akmwambia anaomba asimwambie chochote mtu wayaongee ,Jamani hivi afnyaje nasema wife anaruka mita mia nne ht kupand gari tena mwanzo alojifanya ht hamjui kubanwa kasema huwa kama ananitaka hajantamkia,jamaa ni mkurya toka ikizu ,tarime nogopa hata kuonana na padre ataua,jamani afanyaje na wana watoto watatu.
 
Kama Padri anamtongoza Mkeo nawe Mtongoze padri Mwenyewe mmalizane
 
Watu sikuhizi hawaangalii, hakuna cha upadri wala nini. Ukiona mke wako anaanza mambo ya church too much, hasikii wala haambiliki. Kemea tena kemea haswa.

Cause sometimes sio tu kuhusu swala la mapenzi bali wakiona uchumi wenu uko mzuri, kanisa linaweza likawageuza financier/kitega uchumi.

Hiyo ndoa ndo iko ICU hapo, kuisalvage inahitaji nguvu ya ziada. Ila all that for what!
 
Fukuza mke.
Mke akitembea nje ya ndoa dawa yake ni kumfukuza.

Hakuna dawa nyingine. Hata kama ana watoto kumi.
hata Vitabu vya dini vinaruhusu, mwanamke akiwa Malaya ndoa ya Kikristo inaruhusuwa kuivunja. hakuna mambo a kufa na kuzikana kwenye umalaya
 
Agiza kitimoto popote ulipo,watu kama ninyi mkifika laki moja nchi hii tutafika mbali sana
 
Asipaniki amfukuze tuu watt sio sababu asee. Ukute hyo tabia anayo kitambo sana
 
Inasikitisha sana...

Hata kama Padri hakujua ni mke wa mtu, yeye kama mtumishi wa Mungu kwa nini aendekeze uzinzi...

Jamaa apambane na mke wake kwa kugawa nje ya ndoa...


Cc: mahondaw
 
S kutongoza tu ashaliwa ww nan kakwambia mtu anapanda gar kwenda kutongozwa wanajuana sana ndo maana alikudanganya abak kanisan hawez kukwambia kashamla ila ukwel ndo huo wa kudeal naye n mkeo na s padri maana wanaume ndo walivo kupenda kawaida yao haijalish padri wala nan maana hata padri sperm zinatengenezwa daily usiwaze kumuacha ila fatilia tena mienendo baada ya kumbana utaona mabadiliko ukiweza hack smu yake
 
Ukianza kwa kuelewa hakuna Mungu, unaepukana sana na vitatizo tatizo vya kujitakia kama hivi.
 
Da hzi kesi sasa hadi naogopa jaman.Hapo father keshakula mbunye toka mda.
Kwa sheria zangu ni talaka.watoto n furaha ya ndoa ila sio kinga ya kumlinda mzazi mzinzi kwenye ndoa.
 
Watu sikuhizi hawaangalii, hakuna cha upadri wala nini. Ukiona mke wako anaanza mambo ya church too much, hasikii wala haambiliki. Kemea tena kemea haswa.

Cause sometimes sio tu kuhusu swala la mapenzi bali wakiona uchumi wenu uko mzuri, kanisa linaweza likawageuza financier/kitega uchumi.

Hiyo ndoa ndo iko ICU hapo, kuisalvage inahitaji nguvu ya ziada. Ila all that for what!
Mimi rafiki yangu yalimkuta.
Alinyang'anywa mchumba na padri na mwisho wa siku akampangia chumba.
Hapana chezea watumishi wenye upako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom