HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,393
imani ndio dini na dini ni imani mjuba, hicho ni kitu kimoja huwezi kukitenganishaDini ni utapeli.
Imani ni uhalisia.
Wakalime sasaAcha kuhalibia watu ugali, kama wewe huwezi kutoa sadaka tulia wenzako watatoa.
Hahahaa....we jamaa mbona unatunanga sasa?Hapa ndipo tuamini sasa hakuna cha novena,ukristo, albadili, uislam,Muhamad,Yesu,nk.
Waafrika wakati umefika tutafute suluhisho la kudumu la haya matukio hizo dini tumepigwa!!!
Umeiweka vizuri......kuna Dini na kuna ImaniDini ni utapeli.
Imani ni uhalisia.
Huo ndiyo ukweliHahahaa....we jamaa mbona unatunanga sasa?
Watavuna wanacho kipanda hiyo ndiyo biashara yao.Wakalime sasa
Wachache sana wataelewa ulichomaanisha hapa.💪Dini ni utapeli.
Imani ni uhalisia.
Haswaaa.Wachache sana wataelewa ulichomaanisha hapa.💪
Swadaktaaa.Umeiweka vizuri......kuna Dini na kuna Imani
SwadaktaaaUmeiweka vizuri......kuna Dini na kuna Imani
Imani sio Dini, ila Dini iko ndani ya Imani..imani ndio dini na dini ni imani mjuba, hicho ni kitu kimoja huwezi kukitenganisha
Wachache sana wataelewa ulichomaanisha hapa.
umemsikia mwenyekiti wa wachimba madini tanzania alichosema huko geita?Swadaktaaa
Imani sio Dini, ila Dini iko ndani ya Imani..
Jaribu kuwa muelewa, Kuna Imani nje ya Dini, ila hakuna Dini nje ya Imani.
Hivyoo yaan.
🤣🤣🤣 Asili yenyewe sasa 👉🏽"Maji maji war " na waswahili wanasema "mfamaji.......kutapa tapa".Dini zote ni utapeli
fuata asili ndo kila kitu!