Pacome, Kitima na Warioba wametembelewa

Ziara hizi zimeratibiwa kiufundi kwa lengo la kisiasa ama imetokea kwa nasibu tu?
Mt 25:35-40
kwa maana nalikuwa na njaa, mkanipa chakula; nalikuwa na kiu, mkaninywesha; nalikuwa mgeni, mkanikaribisha; nalikuwa uchi, mkanivika nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nalikuwa kifungoni, mkanijia. Ndipo wenye haki watakapomjibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona una njaa, tukakulisha, au una kiu tukakunywesha? Tena ni lini tulipokuona u mgeni, tukakukaribisha, au u uchi, tukakuvika? Ni lini tena tulipokuona u mgonjwa, au kifungoni, tukakujia? Na Mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambia, kadiri mlivyomtendea mmojawapo wa hao ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.

🐒
 
Bandiko reefu lakini halina uhusiano na kinachozumgumziwa. Zungu na Samia wanaamini hilo andiko ulilonukuu?

Acha uchawabange!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…