Nna wazo la kufanya packaging nzuri ya hizi bidhaa ndogo kama karanga, korosho, naomba kwa yoyote anayefahamu packaging nzuri au tuseme sehemu wanatengeneza mifuko mizuri ambayo naweza kuitumia. Asanteni
Jaribu Omar packaging nadhani wapo pugu road.
Mkuu ukikomaa na packaging ya hivi vitu vyetu vidogovidogo I can assure you can make money. Tuna vyakula vingi yet packaging is very very poor.
Tatizo printers wazuri wa packaging hasa hasa wale wanaoprint full colour wanataka mteja aprint mzigo mkubwa usishangae ukaambiwa minimum weight kilo1,000
Kila la heri
Korosho huwa wanauza nini maana kuna mbegu yenye karanga ndani na kuna ile nyama ambayo huiva na tunakula iliyo kati ya mbegu na tawi, hapo kinachopakiwa au kuuzwa nini?,
Korosho huwa wanauza nini maana kuna mbegu yenye karanga ndani na kuna ile nyama ambayo huiva na tunakula iliyo kati ya mbegu na tawi, hapo kinachopakiwa au kuuzwa nini?,