mndenge pro
Member
- Apr 11, 2016
- 19
- 5
Wadau wenye ujuzi wa kutengeneza packaging material naomba msaada wamawasiano, hatakama unafahamu wadau wanao weza Ku Fanya kaz iyo pia, itakuwa msaada mkubwa kwangu
Plasticpackaging ya nini?
aina gani? plastic au karatasi?
Nataka kufungashia bidhaa kama vle matunda, nataka kufanya biashara katka hali ya ustandard kwa kutumia hz agriculture productunataka kufunga nini mkuu?