jembepori
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 618
- 193
Wadau mbona kama issue ya Escrol imefunikwa na huku mahela yetu mengi bado tunayadai, hasa kwenye ile Account ya Stanbiki ambayo mpaka sasa hakuna anayeizungumzia kuhusu majina ya waliochukua pesa na wala pesa zenyewe, au ndo ule mtindo wetu wa akili ndogo za kufuata matukio na si kujadili masuala.
Nawasilisha.
Nawasilisha.