titomganwa
Senior Member
- Oct 12, 2010
- 126
- 62
Huu ni ujuha wa hali ya juu sanaKama PAC tutaamini tu pale CAG, PCCB na TRA watakapoitwa kuja kukana vielelezo ilivyotumia kamati ya zitto kwamba si vyao
Vyanzo vya taarifa za Kamati ya PAC ni CAG, TRA na PCCB.
Ulisema PAC ni waongo, basi CAG, TRA na PCCB nao pia ni waongo.
Hicho kimugao kidogo ambacho umekombeleza kitakutokea puani. Kama unadhani unaokoa jahazi fahamu limeshazama siku nyingi
PAC imetoa taarifa juu ya fedha za escrow kwa umahili mwingi sana. Wametoa vielelezo vingi. Kwa weledi wao ilikuwa rahisi kutuaminisha. Mimi sikutegemea kabisa kuwa vielelezo vile si vya kweli.
Prof. Muhongo metuletea taarifa kinzani. Hoja za akina zitto na mheshimiwa Filikunjombe zimepanguliwa kwa ustadi na umahiri mkubwa tena kwa kujiamini. Tutaujua ukweli? PAC ina taarifa za kweli kuliko serikali? Je Muhongo anaweza kusema ukweli kuhusu Taarifa za PAC au amesema mambo yale tetezi kwa kujitetea tu?
Tito
Vyanzo vya taarifa za Kamati ya PAC ni CAG, TRA na PCCB.
Ulisema PAC ni waongo, basi CAG, TRA na PCCB nao pia ni waongo.
Akina Zitto fedha za ufisadi zimewatokea puani
kwa swala hili ni hoja muohongo kapangua kwa fact but that one was arranged thus way makinda liruhusu PAC itangulie