Umelipwa Fedha ya Escrow, sio bure wewe!Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliwajaza hasira wananchi pale ilipotoa taarifa potofu bungeni kuwa fedha zilizokuwa kwenye Akaunti ya Escrow ya Tegeta zilikuwa zimechotwa. Wananchi walikuwa na haki ya kujawa na hasira kwa sababu walilishwa taarifa iliyoonyesha kuwa fedha zao (za umma) zimechotwa na wajanja wachache. Hata baada ya Mkuu wa Nchi kubainisha kuwa fedha hizo hazikuwa za umma, inashangaza kuona wanasiasa wengine, akiwemo mwenyekiti wa PAC, bado wanaendelea kuwachochea wananchi kwa kurudia kuwalisha taarifa potofu.
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliwajaza hasira wananchi pale ilipotoa taarifa potofu bungeni kuwa fedha zilizokuwa kwenye Akaunti ya Escrow ya Tegeta zilikuwa zimechotwa. Wananchi walikuwa na haki ya kujawa na hasira kwa sababu walilishwa taarifa iliyoonyesha kuwa fedha zao (za umma) zimechotwa na wajanja wachache. Hata baada ya Mkuu wa Nchi kubainisha kuwa fedha hizo hazikuwa za umma, inashangaza kuona wanasiasa wengine, akiwemo mwenyekiti wa PAC, bado wanaendelea kuwachochea wananchi kwa kurudia kuwalisha taarifa potofu.
Umelipwa Fedha ya Escrow, sio bure wewe!
Umelipwa Fedha ya Escrow, sio bure wewe!
Ni wazi kwamba anachokifanya Zitto sasa ni uchochezi. Baada ya Rais kutamka wazi kwamba pesa zile kwenye Akaunti ya Escrow sio za umma, kwa nini yeye aendelee kuwatia hasira wananchi, ambao wengi wao hawaelewi undani wa suala hili? Huu ni uchochezi, tena wa hali ya juu.

Baada ya kumsikiliza Zitto akiwasilisha "uchunguzi" wa PAC kuhusu suala Tegeta Escrow nikaona kuwa huyu Zitto ni bogus na muongo na anapindapinda maneno.
Nilimuona ni mnafik zaidi pale alipojidai kulia alipoulizwa kuhusu fedha alizopokea yeye. Hakujibu badala yake akajiliza na kutaka sympathy, eti mama'ke asitajwe! khaa, pesa ahongwe yeye amsingizie marehemu?
Kuna wakaati nilifikiri kuwa Zitto anamustakabali mzuri sana kisiasa katika Tanzania, wakati wa sakat hili la escrow nikamfatilia kiundani nikagunduwa bila shaka yoyote kuwa huyu ni mnafik kwelikweli na nnauhakika kishajimaliza kisiasa Tanzania hii, sasa hana pakukimbilia, ndiyo maana mara tunamsiki akisema anawamiss chadema, mara tunamuona yupo CUF mara tunasikia yupo ACT, huko ni kuishiwa na anatafuta pakutpkea lakini njia ya uongo aliyptumia haikuwa na manufaa ya muda mrefu kwake. Kwisha kazi yake.
Kwanini hamumuulizi Zitto analipwa na nani kuwadanganya Watanzania?
Ni wazi kwamba anachokifanya Zitto sasa ni uchochezi. Baada ya Rais kutamka wazi kwamba pesa zile kwenye Akaunti ya Escrow sio za umma, kwa nini yeye aendelee kuwatia hasira wananchi, ambao wengi wao hawaelewi undani wa suala hili? Huu ni uchochezi, tena wa hali ya juu.
Wewe uko biased na mambo fulani fulani ambayo sio vyema nikayasema hapa! Ashk majinuni zina taabu sana
Mkuu, nilipwe fedha hizo kama nani? Mimi ni mzalendo ninayezingatia ukweli. Kwa nini tunapenda kukwepa ukweli na kupakaziana mambo ya ajabu. Tukisimama kwenye ukweli tutaona kwamba wahuni wachache walikuwa wanajitafutia sifa kwa kuzusha mambo na kuitikisa nchi pasipo na sababu yoyote. Huo ndio ukweli, ambao mara nyingine unauma.
Baada ya kumsikiliza Zitto akiwasilisha "uchunguzi" wa PAC kuhusu suala Tegeta Escrow nikaona kuwa huyu Zitto ni bogus na muongo na anapindapinda maneno.Nilimuona ni mnafik zaidi pale alipojidai kulia alipoulizwa kuhusu fedha alizopokea yeye. Hakujibu badala yake akajiliza na kutaka sympathy, eti mama'ke asitajwe! khaa, pesa ahongwe yeye amsingizie marehemu?Kuna wakaati nilifikiri kuwa Zitto anamustakabali mzuri sana kisiasa katika Tanzania, wakati wa sakat hili la escrow nikamfatilia kiundani nikagunduwa bila shaka yoyote kuwa huyu ni mnafik kwelikweli na nnauhakika kishajimaliza kisiasa Tanzania hii, sasa hana pakukimbilia, ndiyo maana mara tunamsiki akisema anawamiss chadema, mara tunamuona yupo CUF mara tunasikia yupo ACT, huko ni kuishiwa na anatafuta pakutpkea lakini njia ya uongo aliyptumia haikuwa na manufaa ya muda mrefu kwake. Kwisha kazi yake.
Faiza Fox;
Fedha za umma au si za umma, swali gumu!!!
Lakini logic ikifuatwa utaona jibu; tusiaminishwe tu na PAC au Rais:
Logic:Malaysia investor (investor) na VIP Eng (local) wanasign mkataba kupata pesa za World Bank kufinance IPTL Tanzania Government Guarantees the Loan/Money.
Wartisila Supplies Equipment's PPA signed with TANESCO (PPA= Power Purchase Agreement)
Sasa swali linakuja: Hilo deni lililipwa? Maana siyo Malyasia wala VIP walitoa pesa; hizo pesa zilitolewa na THIRD party. Tanzania Government Ili-guarantee!! Nani Mdaiwa? = Mkuu wa Nchi hapo alificha. Government inadaiwa.
Facts: Which were proved = Sheikh wa Malaysia (Mechmar) alitoa USD 25,000 kwa VIP kununua Land ile ya Tegeta.
Standard Chartered Bank walinunua deni.VIP/Tanzania Government na IPTL ilibidi wahimize deni kulipwa au kugawana pesa za Escrow??
This is the biggest issue. Sasa hapo uliza wewe mwenyewe; hizo pesa za UMMA au za IPTL??
Wajinga ndiyo waliwao
PAC haikutoa maneno Kichwani, Ilitumia Ripoti ya CAG, PCCB na taarifa za TRA kutengeneza Ripoti yake na kuisoma Bungeni! Kamati ya PAC inaundwa na takribani asilimia 75 ya Wabunge wa CCM. Sasa hapo lawama kwa Zitto na PAC zinaanzia wapi?