little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,257
- 4,364
Umemtaja Sean P nimekumbuka watu kama kina Talib kweli, Buckshot, Raste Juxx, Vinnie Paz, Immortal techniques ni ngumu sanaaaa kukuta watu wengi wanawafahamu.Unajua shida ipo apa, kuna baadhi ya wasanii wa rap wanafanya underground hiphop alaf wanataka kukaa mainstream. Mziki wa weusi ni mainstream hiphop wakati huo mziki wa wasanii wa TAMADUNI ni underground hiphop wakati huo kuna baadhi ya wasanii wa tamaduni wanataka kushindana na weusi hili swala haliwezekani.
Ukiwa msanii wa rap unatakiwa kujua position yako kisha tengeneza pesa kupitia position yako. SHOUT-OUT kwa dizasta vina amejua position yake na anaitumia vyema, kuna wasanii walikua USA kama kina marehemu sean p wanajulikana kwa wachache wanaofatilia mziki wao na hivyohivyo kwa ata kwa bongo tutawajua sisi tunaofatilia hiyo kitu
Umemtaja Sean P nimekumbuka watu kama kina Talib kweli, Buckshot, Raste Juxx, Vinnie Paz, Immortal techniques ni ngumu sanaaaa kukuta watu wengi wanawafahamu.
Umemtaja Sean P nimekumbuka watu kama kina Talib kweli, Buckshot, Raste Juxx, Vinnie Paz, Immortal techniques ni ngumu sanaaaa kukuta watu wengi wanawafahamu.
Yaaap midundo ya hatari Sana katika hilo dude moja ya album kali sana hiyo Hardbodie hip hop.👊Umemtaja raste juxx, ana ngoma inaitwa hardest from the underground [emoji1477] ya moto sana hiyo ngoma
Sifanyi mziki Mimi ni mhafidhina wa strictly underground hiphop sifagilii hivi virapa uchwara kam uko mainstream baki huko uvuguvugu wa niniAlikunyima kolabo nini?
Mzinguzi tu.... afu kapotea au ndo game limemficha anatoa ngoma zinaishia kuskilizwa na producer tu
Huyu chalii WA AR....hajawahi wakubali weusi [emoji23]..hv chanzo n nn??.....Fido inawezekana atakuwa kajibu chochote hapoKwani Fido Vato ana maoni gani hapa??
WEUSI ndio kundi bora la hiphop Tanzania. Hawa wengine ni takataka tu zimejikusanya na kujiita kundi la hip hop
Huyu chalii WA AR....hajawahi wakubali weusi [emoji23]..hv chanzo n nn??.....Fido inawezekana atakuwa kajibu chochote hapo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hakuna mtu wa hip-hop hamjui Harry Mack.Hapana mkuu sijawahi msikia ila ngoja nitamtafuta nione mautundu yake
Nilikuwa namsikiliza sana bila kujua jina lake.Hakuna mtu wa hip-hop hamjui Harry Mack.
Unashangaza.
Harry Mack - The energy was insane