Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Producer mkali wa kitambo P Funk Majani amedai maneno ya kumsifia Harmorapa noma, ilikuwa tu ni kejeli kwa dogo huyo
Amedai hata kwa milioni 10 hawezi kumrekodia msanii huyo kwa kuwa yeye niproducer mwenye heshima
Pia amedai hata Marco chali alishakujaga studio kwake na kuishia getini