P Diddy Akabidhi Ufalme wa NYC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

P Diddy Akabidhi Ufalme wa NYC

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jan 29, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,285
  Trophy Points: 280


  DIDDY AMPA MWANAE UFALME WA NEW YORK
  [​IMG]
  Justin Dior (kulia) akiwa na Nicki aliyempa kampani siku hiyo.

  [​IMG]
  P Diddy akiwa na wanae pamoja na Lil Kim.

  [​IMG]
  Hili ndo gari lenyewe.

  [​IMG]
  Justin Dior akivishwa taji na baba yake.

  [​IMG]
  Justin akiwa kwenye ndinga aliyokabidhiwa.​


  New York, Marekani
  NGULI wa Hip Hop, Sean Combs a.k.a P. Diddy, wiki iliyopita alifanya kufuru katika ‘birthday party’ ya mtoto wake mkubwa, Justin Dior, aliyetimiza umri wa miaka 16 ikiwemo kumvisha taji kuwa Mwana wa Mfalme wa New York katika sherehe iliyogharimu dola milioni tatu...
   
 2. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wale mliokuwa mkishangaa dada yenu kuvishwa pete ya USD 76,000, mnaona kazi hiyo hapo juu. Birthday inagharimu USD 3 Mil.

  Tafuteni na nyie pesa acheni kupanga matumizi ya pesa za wenzenu.

  Congrats P Diddy!!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  aisee awwa jamaa utasema awafi
  eee mola
  tupe nasie hata nusu ya utukufu wao
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wewe fanya kazi kwa bidii acha kubaki kusema Mola akupe. Mungu anabariki kila juhudi za mtu kwake halitoki baya. We kaa hapo kweny avatar na kukunja sura do s'thing
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280

  Worse still mungu hayupo na hivyo naturally hawezi kusikia maombi.

  Huyo didi nani kampa ufalme wa NYC? Kama Diddy ni mfalme sasa Bloomy ni nani?

  Acheni masihara, hata ukisema Bloomy si level ya Diddy (or rather Diddy si level ya Bloomy) Diddy hajafikia hata ujiko wa Jiggah.

  Kuna ma dealer hata hawataki kujishaua kwenye migazeti wana mihela kama mhanga wa pwani, lakini huisikii kujionyesha hata siku moja.
   
 6. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45

  Eee Mungu nakuomba umsamehe huyu bwana kwani hajui hata kidogo anenalo hapa,
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kiranga,

  As a xstian I blv in the monotheistic God of Braham, Isaac & Jacob-The God Of the Book. The one who created the universe. Theo one who seeks a close loving r/ship with us, His most bloved creation.

  The one who first sent emissaries, then finally took on the form of teacher Jesus of Nazareth, Arguably the most extraordinary individual ever to walk the planet all so our puny minds might begin to grasp his true forgiving nature. The one who defines standards of behaviour that invite us to transcend our baser more destructive tendencies and experiences not jsut fleeting sensual pleasures but permanent.

  Ww ni Mungu gani do u blv in???

  Kuhusu ufalme wa Piddy haunihusu ni kama mtu mwingine tu wa kawaida hata huyo Jiga uliyemtaja I never even listen to his poor lyrics.
   
 8. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Unajua Mungu kumwacha yeye anafikirhayupo ajiulize Msoviet 1 aliyejulika kwa jina la Yuri gagarin who was the Ist person to orbit the earth quipped while in space.....I dont see any God up here...aliishia wapi? je anajua yaliyomsibu??
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Msoviet kupatwa na mabaya hakumaanishi kwamba mungu yupo.

  Ukikaa leo na kusema "Santa Claus does not exist" halafu ukapigwa na radi - there is a chance of that happenning- does that prove kwamba Santa Claus ana exist?
   
 10. Dani

  Dani Senior Member

  #10
  Jan 30, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  The fact that capitalism (keep what you earn, no matter how much u earn) is the only political/economic system which has been so readily embraced by mankind, is a testimony to its failure to really reach out to all its members. A race in which 20% live below the poverty line, but giving people opportunities to spend 3 M for a birthday party is a sick system that needs urgent replacement.

  One thing that has been constant in mankind is its persistent ability to successfully divide the rich and the poor.

  Congratulations, P-Diddy - you [and the like] are a jewel in the bloody legacy of feudalism, totalitarianism, federal reservism/central bankism, corrupted "communism", oligarchies, aristocracy and all monarchies we've had. History will be proud of you sticking to its tradition so well!
   
Loading...