Oya kuna watoto wa uswahilini walikuwa wakiongea, maongeza yao yalikuwa hivi.
Wa1:Baba yangu aisee ni mwoga!
Wa2:Kivipi?
Wa1:Jana kaingia chooni kumuona mende akapiga kelele mpaka mama akaja kumsaidia.
Wa2:Mbona hiyo cha mtoto, baba yangu ni mwoga yaani mama akisafiri analala na mfanyakazi wa ndani (housegirl).