Pole sana. Maisha ndivyo yalivyo siku zote. Charles Darwin aliitambua hii kitu kama Survival of the fittest! Wakati unalia kuachwa, kuna mwenzako huko naye anafurahia kumpata huyo manzi yako.
Hivyo na wewe mtafute mnyonge wako, umnyang'anye demu wake ili upoze machungu. Na kama huwezi, basi wekeza nguvu zako zote kwenye kutafuta hela.