Oya hapa ndo tauni, kuwa makini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oya hapa ndo tauni, kuwa makini!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Jan 31, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tauni bwana ukipaingia kifala napo panazingua!
  ..ujue washkaji kibao walioshasikiliza stori za kijiweni wakaja laivu bila kufanya risecvhi, ..ndio hawa wengine wameishia kuwa wezi, wengine wanakamata michongo ya kizushi tu na waliokosa moyo wa kugangamala wengi wamegeuka, wanakula nafaka tu saa hizi vileji huko.

  Kuishi tauni mwanangu hakuna diferensi na kumchinja kobe, taimingi ya hali ya juu inahitajika la sivyo utajikuta unaangushia wanao lawama tu, .."ooh, mbona hukuniambia, ...Oooh mmeniingiza chaka".
  Kumbe hamna, we mwenyewe tu umebugi!
  Wanangu inakuwaje?
  Mzuka?

  Mwanenu misele imenizidi kimokudadadeki mpaka samtaimz najikataa ujue? Hivi ni mimi au kivuli? lakini ndiobongokudadadeki ukishaitwa mtoto wa kiume si ndio lazima ujitume? Unafikiri usipojituma wewe utamtuma nani akurekebishie? Rekebisha mwenyewe watu wakuheshimu, su sio mwanangu Fisi?
  Upo kwanza?
  ...hatuwasiliani?

  Upo Dar au Moro kwanza?
  Mi naongea na wanangu hapa kama VP karibu!
  Unasikia mwanangu tauni hapainabidi masikioyawe hai, uwe unasikilizia kila kona, kama we wakuja maana wenzetu waliotangulia wameshameza tekniki, sasa pa kuzitumia ndio hamna, sasa wanatupiga nazo kudadadeki za uso kama tukizubaa, kuna mwanangu kapigwa moja juzi kati mitaa ya Tandale, nikupe hiyo?

  Mwana bwana, katika misele yake ya tauni si kakutana na kimchumba? Kimchumba fresh nini, kikali kivile yaani jamaa ikabidi kama akipe saundi hivi katika kutaka kukiweka sawa, unaona bwana?
  Si unajua tena saundi za mtoto wa kiume zinapoingia kwenye ngoma za sikio la mtoto wa kike? Mwisho wa siku wakakubaliana kuwa kama mtu na demu wake dizaini.

  Basi bwana, demu lakini akajifanya andastendingi sana na ishu za wanaume wa bongo, akampa mchizi msimamo wake, kwamba hamna gemu mpaka ndoa, jamaa akachukulia poa, kwa hiyo wakawa watu wa autingi nini lakini no kuduu samsing.
  Unanisoma mwanangu?

  Mbaya zaidi hata mchizi kukaribishwa homu akawa hajapelekwa, akimuuliza demu anamwambia mpaka auone msimamo wake, sio apeleke tu mtu homu, siku mbili tatu kasepa!
  Duh...
  Jamaa akakuna kichwaaaa akaona solusheni nini, ngoja nikawaite madingi nini waibuke kwenu basi waje wahakikishe kwa kutoa Ze leta nini ili kama vipi kieleweke. Demu akasema poa, jamaa akaanza kuwasiliana na wazee wake, muda si muda wakashuka kutoka kijijini.

  Unanisoma nadhani mwanangu
  Jamaa kuwasiliana na demu akamwambia basi wikiendi nakuja, demu akajibu poa we ukifika mitaa ile unayonishusha, nipigie.

  Jamaa katoka alikotoka na dingi na maza na anko. Kufikapale anakong'ota foni, demu hapatikani kwa sasa, labda wamcheki baadeni. Madingi unaambiwa waliwaka, kidogo wampekichapo mchizi, akaokolewa na kilio chake cha majuto.
  We demu kwao hukujui, anakwambia njoo tu unaenda, tena unachukua na wazazi, unafikiri siku hizi tauni kuna ishu hiz9o, kwanza hatununui msosi mpaka tuonje!
  ..ndo manake!

  Hahahahahahahah...
  Mademu zetu wa tauni hao unaambiwa mpaka leo hawajaonana tena na uhusiano ndio umekufa na namba ile unaambiwa haiko hewani, hapo unapata picha gani mwanangu mwenyewe?

  Ubontauni umetumika au nini?
  Dizainimi naona kama demu kaona kama mchizi hamfai akaanza kulakwanza mkwanja wake, kisha alipoona ushamtosha akawa anatafuta rizon bihaindi, aliposhaipata akaona kheri. Umenielewa?
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kama hueleweki vile?who are you and what is this?
   
 3. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  totally failed to understood:A S thumbs_down:
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Sijaelewa concept yako
   
 5. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Hii mada iko sanjari na hiyo avater. am I wrong
   
 6. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  :roll::roll:
   
Loading...