Ovulation kwa mwanamke. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ovulation kwa mwanamke.

Discussion in 'JF Doctor' started by J.o.s.e.p.h, Mar 8, 2012.

 1. J

  J.o.s.e.p.h Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naombeni kujua, nitajuaje ovulation ya mke wangu ili niweze kuamua tuzae mtoto wa jinsia gani.!
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  hili swali sasa....hebu pitia pitia humu humu jf doc....kuna thread 113 za aina hii...mpaka picha....
   
 3. J

  J.o.s.e.p.h Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Preta kama unafaham ukanieleza sio mbaya.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  ....kesho nitakupa link....
   
 5. J

  J.o.s.e.p.h Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitashukuru sana.
   
 6. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Joseph utajua kwa kuhesabu siku zake,anzia siku anayopata bleed kuesabu hadi siku 14(kama mzunguko wake ni mfupi siku 28)siku ya 14 ndo haswa unaweza pata mtoto wa kiume,ukiwahi kabla ya hiyo siku unaweza pata wa kike.kama mzunguko wake ni mrefu yaani zaidi ya siku 29 inabidi uhesabu siku 18 na hiyo ndo siku haswa ya kupata mtoto wa kiume.
  Ila siku zinabadilika badilika kwa wanawake wengi mwezi huu anaweza kuwa na mzunguko mfupi mwezi mwingine anaweza kuwa na mrefu hivyo inahitaji timing ya kuhesabu mara kwa mara.
  Choice ya mtoto
  mwanamke anatoa XX-ambazo ambazo zinatoa mtoto wa kike(zinaspeed ndogo na zinachelewa kufa)
  Mwanaume anatoa XY- ambazo zinaweza kutoa wa kike au wakiume(zinaspeed sana na zinawahi kufa mapema)
  Hivyo mwanaume anayetoa XY mnatakiwa mfanye tendo exactly day ili sperm za mwanaume Y zinazotoa mtoto wa kiume zisife mapema(iwe ndani ya masaa 12 ya siku ya ovaluation)ukiwahi kufanya sperm za Y zitakufa mapema na yai likipevuka litakuta Y imekufa imebaki X ya mama na X ya baba hapo ni mtoto wa kike ila kama utafanya exactly day Y kwa vile inaspeed kuliko X yenyewe itawahi kufika na yai litaikuta Y hivyo atakua mtoto wa kiume.wa kike ni simple just mfanye kabla ya siku ya 14 au 18 yaani siku ya 12 na13 na siku ya 16 na 17 hapo Y itaenda speed na mwisho wa siku itakufa mapema X itakuja taratibu na kupata mtoto wa kike.
  But ishu ya kuchagua mtoto ni kumwachia mungu sometimes zinagoma hizi theory maana kuna factor nyingi za kufuata
   
 7. Nelsweeter

  Nelsweeter Senior Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe jinsia ya mtu inatokana na mwanaume, ok. Kuna watu wanajinsia mbili, au wengine haeleweki kabisa kama Caster Semanya hapa inakuwaje?
   
 8. J

  J.o.s.e.p.h Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu kwa maelezo mazuri.
   
 9. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,233
  Likes Received: 2,915
  Trophy Points: 280
  Mkuu Satellite umeongea kitu cha maana sana,wakati mwingine ni kweli kabisa THEORY inaweza ikupatie unachotaka. Kubwa hapo lazima ujue kwenye uumbaji MUNGU ana mkono wake. Ila mleta thread fuata ushauri uliopewa na wana JF kufikia azma yako.
   
 10. J

  J.o.s.e.p.h Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na uchambuzi wako fasaha, je zipi ni safe days? yaani mwanake hawezi kupata mimba hata mkifanya?
   
 11. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  We nawe ni ukilaza au bado unakua balehe inakusumbua hesabu rahisi tu!
   
 12. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Try to download an ovulation calendar and install in your laptop, make sure you update it monthly!
  I hope this might help you!
   
 13. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Joseph safe days ukihesabu hadi siku ya 14 kwa wenye mzunguko mfupi (kuanzia anavyobleed)toa siku tano na jumlisha siku tano (yaani nyuma ya 14 na mbele ya 14)kwa wenye mzunguko mrefu hesabu siku 18 then toa siku 5 na jumlisha siku 5.hizo siku unazozitoa na kuongeza ni DANGER DAYS zilizobaki zote ni safe days.but sometime wengine huwa wanawahi na kujikuta wanapata mimba kutokana na mabadiliko ya mwili hivyo hii theory inaubaya na uzuri wake
  Angalizo
  Kikubwa hapo ni kujua mzunguko wake ni mrefu au mfupi na wengi huwa wanabadilika badilika kutokana na mazingira hivyo siku hazitafanana kila mwezi,njia hii wengi inawasumbua na mm sishauri sana best way ni kutumia KONDOM tu
   
 14. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nelsweeter yeah mwanaume ndo anauwezo wa kutoa sperm za kike au kiume but inahitaji mazungumzo ya wote na maandalizi ya kutosha ili wote muwe kitu kimoja.sometime theory zinagoma mungu naye anamkono wake katika uumbaji ndo maana kuna watu wana watoto wote wa kike au wakiume
   
 15. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  dada Preta naomba ujue ukiona kitu kinarudiwa rudiwa ujue familia nyingi zinamatatizo kwa hiyo tuwe wavumlivu. siunajua si wengi wanapitia mitandao bali ni wachache na hii kutokana na mitandao na pia u busy wa maisha
   
 16. J

  J.o.s.e.p.h Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana sasa nimeelewa vizri.
   
 17. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
 18. J

  J.o.s.e.p.h Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 19. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Nashindwa kuandika/kutoa maelezo sana, kwini itanichukua muda mrefu. Ila kama bado unahitaji msaada zaidi, mimi nipo Arusha kwa sasa, tunaweza kuwasiliana au nikupe no. ya simu ili tuelekezane.

  Nimeweka hiyo Calendar na maelezo jinsi ya kuitumia.  WOMAN'S CONCEIVING AGE
  MONTH OF
  CONCEPTION 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31

  January G B G B G B B G B G B G B B
  February B G B G B B G B G B G B G G
  March G B G G B G B B B G B G G B
  April B G B G G B B G G B G G G G
  May B G B G B B G G G G G B G G
  June B B B G G G B B B G G B G G
  July B B B G G B B G G B B B G G
  August B B B G B G G B B B B B G G
  September B B B G G B G B G B B B G G
  Gctober B B G G G B G B G B B G G G
  November B G B G G B G B G G G G B G
  December B G B G G G G B G B G G B B

  _____________________________________________________________________
  WOMAN'S CONCEIVING AGE
  MONTH OF
  CONCEPTION 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44 45

  January B G B B G B G B G B G B B G
  February G B G B B G B G B G B G B B
  March B B B G B B G B G B G B G B
  April G B G B G B B B B G B G B G
  May G G G G B G B B G B G B B G
  June G G G G G B G G B G B G B G
  July G G G G G G B G B B G B G B
  August G B G B G B G B G B B G B G
  September G G G G B G B G B G B B G B
  Gctober G G G G B B G B G B G B B G
  November G G B B B G B G B G B B G B
  December B B B B B B G G G B G B G B

  _____________________________________________________________________
  EXPLANATION
  You can choose for yourself whether you want a boy or a girl by following the chart. The woman's age from 18 to 45 (Chinese reckoning) is on the top line while the months 1 to 12 indicate the month when the baby is conceived. By following the chart you will be able to tell in advance whether your baby will be a boy or a girl. Thus, you can plan to have a boy or a girl. This chart has been taken from a Royal tomb near Peking, China. The original copy is kept in the Institute of Science of Peking. The accuracy of the chart has been proved by thousands of People and is believed to be 99 percent accurate.

  By reckoning, you follow a line drawn from the figure representing the woman's age to a line drawn from the month the baby is conceived. For instance, if the woman is 27 years old and her baby is conceived in January (according to the Chinese Lunar Calendar), then her baby will be a girl. The chart is based on the month the baby is conceived and not on the birth of the baby, B-Male, G-Female.

   
 20. C

  Capitalist Senior Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nashukuru mkuu kama vp nipe phone no yako nkupigie.
   
Loading...