Over confidence? No please!

Subiri akate kiu kwanza akimaliza ndo tutajua

Nakwambia hayo madude ya kisasa hata ukiingiza kichwa chote na ukalitekenya na kutoa halidhuru, ila usijaribu kwa hawa wetu wa kienyeji utaisahau dunia.
 
Nakwambia hayo madude ya kisasa hata ukiingiza kichwa chote na ukalitekenya na kutoa halidhuru, ila usijaribu kwa hawa wetu wa kienyeji utaisahau dunia.

Aah wapi sidanganyikiii...!! hayawani ni hayawani tu hata atoke mwezini
 

Hii itakuwa photoshop, picha ya dogo iko nyuma sana. Pia iko too unreal to be true. Mamba ana kivuli chake hapo, kutokana na angle ya kivule cha mamba, na kivuli cha dogo kingekuwapo. kwa nini dogo hana kivuli hapo??? Picha ya dogo ilikatwa vizuri bila kivuli chake na kupachikwa hapo. Mamba ni mamba tuu, hasogelewi. Hii picha ya kuburudisha ila si ya kweli.
 
Halafu ya mamba ina kivuli ila ya dogo haina. Kweli kaufundi ka duka la picha ni noma.

Ukijojoa automatically kivuli kina disappear magically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…