Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,401
Jamaa analazimishwa na wife atumie huo mtandao kwa hiyo anaomba ushauri
Hahaha! Lol! Huyo jamaa kweli hamnazo! Analazimishwa afu anakataa? Hajaelewa mamaa anamaanisha nini? Kashaliwa huyo! Mwambie jamaa astuke.