Outing kwa wanandoa.

wanaume mnapenda kutoka nyie tu ......wake zenu hamuwapi hata ruhusa!
utasikia mtu anamwambia mkewe "i like ur hair natural, baby" kumbe anataka safari za saluni zikatike
halafu akikutana na mwingine katengeneza zake anakodolea macho wakati anasema anataka natural hair kwa mkewe lol!
 
Du mwenzangu, huyu semenya huyu ataleta tabu huyu. sina taarifa na hiki kikao, labda ZD atakuwa na taarifa kutoka kwa switihati wake xpin.
Btw, how are you today? feeling better?

huyu anatubreinistomu kishenzi!lakini tumepata suluhisho!tutamkabidhi mpiganaji fidel.akijifanya kubadilisha bunduki jamaa atajiexpress,haina jinsi:D
 
Du mwenzangu, huyu semenya huyu ataleta tabu huyu. sina taarifa na hiki kikao, labda ZD atakuwa na taarifa kutoka kwa switihati wake xpin.
Btw, how are you today? feeling better?

Lol! Binamu kikao chenyewe ulikiasisi wewe, afu unatugeuka. Huoni hata haya? Hahahaha! Mambo ya cheers na maredflawa kwa ajili ya sisy na bwashee.
 
Fikiria tumekukatana kwenye kikao chetu cha jmosi au j2 na Mr. nae yupo huku na huku Masanilo anaingizia story kuwa dah ile wheel barrow style balaa huku pembeni kuna mdau Nguli nae anapigilia msumari hapa kati kuna Geoff nae anapigilia msumari hiyo lazima uwe umeshiba pembeni mpwa Chrispin nae anamwaga vitu wewe joto halita panda?

ndio maongezi mnayoendaga kubadilishana?
 
Lol! Binamu kikao chenyewe ulikiasisi wewe, afu unatugeuka. Huoni hata haya? Hahahaha! Mambo ya cheers na maredflawa kwa ajili ya sisy na bwashee.
aaaah, binamu, kwenye kikao nilichoasisi mimi sikujua kama semenya naye yuko kwenye agenda. lakini kama atapewa fidel ruksa, tunamkaribisha semenya.
 
bwa-shee tatizo kubwa ni SEMENYA!akitumia bunduki kama yako kuna hatari ukaporwa zd:D
 
Yaaa! Semenya naye anataka ahudhurie, tatizo hatujajua kama yeye ni she au he au shemale! Hahaha! Tunahofu asije akawa shemale afu mpwa Fidel akawa hayupo. Lol! Tahadhari kabla ya hatari!
 
hapa kikao kitavurugika!
 
bwa-shee tatizo kubwa ni SEMENYA!akitumia bunduki kama yako kuna hatari ukaporwa zd:D

Hivi Semenya anaweza kumtoa ZD kwenye himaya wakati makomandoo Carmel, FL1, Nyamayao, Kaizer, Masanilo, Fidel,G_P wapo gado? Usisahau we na sisy mtakuwa high table mnalishana makeki na mashampeni aina ya taska!
 
]Halafu watoto nyumbani nani atawalea?[/COLOR] Hahaha! Hiyo red hiyo, hapo umenena jambo.

ni usemi wa wanaume wengi huo, kwani tunaenda kulala bar? mie ndio mana najitokeaga mwenyewe akinikuta cpo home ananunaaa na maswali kibao.
 
Hivi Semenya anaweza kumtoa ZD kwenye himaya wakati makomandoo Carmel, FL1, Nyamayao, Kaizer, Masanilo, Fidel,G_P wapo gado? Usisahau we na sisy mtakuwa high table mnalishana makeki na mashampeni aina ya taska!

Nguli yupo,atamdhibiti.nitampigia apite mayfair gym kabisaaa!maanake huyu SHEMALE namuogopa.na mimi siku hiyo nitakuwa gesti of hana!full matabasamu na maaibu!kwi kwi kwi kwi
 
Wapwa kuna hot mada kule kwenye mambo ya kikubwa mwanamke bila kupigwa O hakieleweki haya sasa akina Nyamayao mnao pinga kujiexpress msaidieni jamani
 
hili mimi mtanisamehe!sio mshabiki kabisa.KUTOKA MOYONI,SIO MSHABIKI
 
Nguli yupo,atamdhibiti.nitampigia apite mayfair gym kabisaaa!maanake huyu SHEMALE namuogopa.na mimi siku hiyo nitakuwa gesti of hana!full matabasamu na maaibu!kwi kwi kwi kwi

Hahahaha! Kwa hiyo nguli itabidi tumtoe high table, manake nilishampa cheo cha bestman wa bwashee! Hahaha! Mkuu Nguli atakuwa fit na yale matizi yake. Atafaa kuwa karibu yangu, Semenya asije akamgeuzia kibao ZD wangu.
 
Back
Top Bottom