Our stolen treasure

Mario Kejob

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
441
536
Ni muda mchache tu uliopita nimekutana na mzungu mmoja na katika mazungumzo yetu aliniambia kuwa aliwahi kuishi Tanzania. Na akaniuliza, " is Tanzanite still there"? Na nikamwambia yes it's still there and we just found three world class size stones weighing about seven kg. And he said, " that's fantastic".
Na akaendelea kuniambia kuwa he smuggled big stone from there and now he is living large. Nilichogundua katika maongezi mafupi ni kwamba he is a retired mineral dealer now enjoying the loot to his death.
Point yangu hapa ni kwamba, hayo "mawe" makubwa ya Tanzanite yalikuwa yanapatikana ila tu taarifa zake zilikuwa hazipatikani na hatimae kuishia kutoroshwa na serikali kukosa kipato chake. Si hover tu, hata hayo ya Billionaire Laizer yasingejulikana kama sio jitihada za udhibiti uliofanyaka hivi karibuni mojawapo ikiwa ni kujenga ukuta.
Kwa kweli iliniuma sana kusikia mzungu akinielezea kwa kebehi jinsi alivyotorosha madini hayo. Kweli wa-Tanzania tuliliwa kwa muda mrefu na hapa nampongeza Muheshimiwa Raisi kwa mtazamo wake katika hili swala la madini yetu kwa kuweka udhibiti wa aina fulani. Kweli inauma kumsikia mwizi aliekuibia akitamba kwa kebehi.
Trust me, this is a true story.
 
Umenikumbusha miaka 19 iliyopita, akiwa madarakani hayati rais flani wa nchi flani....
Nikiwa kijana mdogo sana siku zile, na nilishuhudia hayati rais flani akikabidhiwa....
Ebu ngoja nimezi hili fundi nakuja kumalizia hii simulizi
 
Kilo Mia za gold. Ndo alipopata mzux wa kuanza kuvaa cheni shingoni
 
Ni muda mchache tu uliopita nimekutana na mzungu mmoja na katika mazungumzo yetu aliniambia kuwa aliwahi kuishi Tanzania. Na akaniuliza, " is Tanzanite still there"? Na nikamwambia yes it's still there and we just found three world class size stones weighing about seven kg. And he said, " that's fantastic".
Na akaendelea kuniambia kuwa he smuggled big stone from there and now he is living large. Nilichogundua katika maongezi mafupi ni kwamba he is a retired mineral dealer now enjoying the loot to his death.
Point yangu hapa ni kwamba, hayo "mawe" makubwa ya Tanzanite yalikuwa yanapatikana ila tu taarifa zake zilikuwa hazipatikani na hatimae kuishia kutoroshwa na serikali kukosa kipato chake. Si hover tu, hata hayo ya Billionaire Laizer yasingejulikana kama sio jitihada za udhibiti uliofanyaka hivi karibuni mojawapo ikiwa ni kujenga ukuta.
Kwa kweli iliniuma sana kusikia mzungu akinielezea kwa kebehi jinsi alivyotorosha madini hayo. Kweli wa-Tanzania tuliliwa kwa muda mrefu na hapa nampongeza Muheshimiwa Raisi kwa mtazamo wake katika hili swala la madini yetu kwa kuweka udhibiti wa aina fulani. Kweli inauma kumsikia mwizi aliekuibia akitamba kwa kebehi.
Trust me, this is a true story.
That side of prons there cons also.
I still appreciate the work of him.
Mh Magufuli
 
Back
Top Bottom