..Balozi Elly Mtango alikuwa balozi Geneva, halafu akarudishwa nyumbani na Mzee Mwinyi kuwa PS wizara ya habari. Mzee Mkapa akamteua kuwa PS Mambo ya Nje. Baada ya hapo akateuliwa tena kuwa Balozi Japan.
..Balozi Hassani Kibelloh ndiye aliyempokea Elly Mtango U-PS pale Mambo ya Nje. Wakati Mtango anakwenda Japan, Raisi Mkapa alimteua Dr.Ben Moses na Charles Sanga kuwa Ubalozi.Siyo kweli kwamba Balozi Mtango amekaa Japani miaka 16!
..Mabalozi waliokaa nje muda mrefu ni wa aina ya Gen.Sarakikya, Lt.Gen.Mwakalindile na Lt.Gen.Silas Mayunga "mti mkavu." Hawa ukiwarudisha nyumbani bila kuwastaafisha Jeshi watawasumbua watu kama Waitara,Mwamunyange,na Shimbo.
..Mabalozi wanabadilika siku hizi. Mkapa alipoingia madarakani aliteua Mabalozi kama watano kama wakuu wa idara wizarani. Kituo kama Harare wali-serve Muganda na baadaye Mbita. UN alimbadilisha Mwakawago na Mahiga. India alikwenda Capt.Kiwanuka, halafu baadaye Mama Nzaro. London alipelekwa Prof.Abdul-Kadiri badala ya Col.Mchumo. Hata itifaki alianza na Mwawado, akaja Opanga, akamaliza na Cisco Mtiro.
..Hiyo ni mifano michache tu...Lusekelo amekosea kuzungumzia kiujumla-jumla, bila data, suala kama hili.
..kama sikosei mtango amekuwa balozi japan toka 2000 au 2001
- mabalozi wengi aliowachagua mkapa ni kwenda kuchukua nafasi za waliostaafu. mwishoni mwa kipindi chake ndio aliwachagua baadhi ya mabalozi wakurugenzi makao makuu nadhani ni timu ya akina cisco, mombo, kallage
- mabalozi waliotoka jeshini nadhani wengi wao waliteuliwa toka awamu ya kwanza. jokakuu amewataja, pia kanali (mstaafu) mchumo alichaguliwa kipindi hichohicho.
- mwakawago ni baadhi tu ya mabalozi waliobadilishwa mwishoni mwa kipindi cha mkapa
- kama sikosei prof. abdukadir aliteuliwa na mzee mwinyi na sio mkapa
nadhani lusekelo angesaidia sana kama angesema ni kipindi gani anazungumzia.
wizara/idara nyingi tu za serikali, wizara ya mambo ya nje ni moja wapo, zina watendaji ambao sio waadilifu lakini sidhani ni vyema kuzihukumu wizara/idara hizo kijumla jumla.
..by the way yuko Balozi.Maj.General Martin Mwakalindile. Nina imani ame-serve zaidi ya miaka 10. Huyu alikuwa Chief of Staff mara baada ya vita vya Kagera. Kama hajastaafu jeshi basi inakuwa vigumu sana kumrudisha nyumbani.
I used to be a regular on Adam's column "With a light touch" in late 70s up to late 80s; other popular columnists of the time included Freddy Macha with his "Cultural Images" and Agoro Anduru with his "A Short Story with Agoro Anduru." I understood Adam as a person who identifies problems in the system and generically writes about them to raise public awareness. In his writing he uses a vulgar language without providing specifics of his subject. Despite this lack of specifics, readres would easily get the message. I took this as a writing syle and I had no problem with it. I guess this sytle may have its roots in Professor Penina Mrama's Drama Group to which Lusekelo was a member.
The article copied above still reflects his "trade mark" writing style, and I clearly get his message: there is no time limit for our diplomats. Their tenure in a foreign country depends on the boss at the Ministry and at State House.
All I see as Lusekelo's mistake is in his choice of the journal. Such article should have appeared in a regular newspaper instead of this investigative newspaper.
Just like Muhidini Issa Michuzi, Lusekelo is another mediocre journalist from "DAILY NEWS" . His opinions are crap, absive rude, nasty sick and twisted of the first order.
But then again this idiot is just exercising his freedom of speech
Man, this is a piece of crap. How many missions do we have around the world, ina maana hao jamaa wa "chuo Kikuu" wote wanaweza kuwa mabalozi? au kazi huko foreign ni kuwa balozi tu? What the Heck is this Adam thinking, labda alikuwa amechoka hakuna na story ya kuandika, alngekaa kidogo na kuzungusha ubongo wake angeandika makala nzuri sana. This is why Mkapa aliwadharau waandishi wa Tanzania!