Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
heheBila vinyesi na machokoraa pembeni it can't be.
asante ndugu...tumeskiaInapendeza sana lkn acheni kueneza chuki na Uongo kwamba TZ yetu inafukuza wageni, acheni hizo waambieni watu wenu ukweli na siyo kupotosha,TZ haifukuzi Wageni!
nenda kaulize nyanyako....natumai atakupa jibu mwafakaHivi kwanini mnapenda sana kutumia nguvu kujilinganisha na sisi? Mbona sisi hatunaga time na nyinyi kabisa?
Yaani tuache kudeal na Vyeti Hewa tuje kujadili barabara ya gari moshi jamani, kweli?
Nyanya kumaanisha Bibi(sio mke)?nenda kaulize nyanyako....natumai atakupa jibu mwafaka