Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Othman ni mjanja mjanja tu hana uwezo kabisa wa kuwa Rais, hakutakuwa na mpinzani Zanzibar wa kumfikia hata robo Maalim Seif, kiongozi Peker aliekuwa na uwezo na sifa za kuwa kiongozi ni Babu Duni au Juma Duni Haji.
Othman hana mvuto mbele ya wananchi, hajui kujenga hoja, amelazimishwa tu kuwa kiongozi, ukimsikiliza hujui anaongea nini, hajui zanzibar imetoka wap, ilikuwa wap na wap inakwenda
Wa Zanzibar wana ushabiki tu lakini wajue Rais hapatikan kwa ushabiki
Bw Mbeto ameongea vzr sana, kumchagua Othman ni kuwatia umaskini zaidi wazanzibar
Dkt Hussein Ali Mwinyi anatosha.