Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,274
Baunsa mmoja aliyekuwa kakaa kaunta ya baa fulani akinyanyasa watu na misuli yake, aliondoka kwa furaha kwenda chooni, lakini akarudi amekasirika jasho linamtoka;
BAUNSA: Baa hii washenzi wote
KAUNTA: Kwani vipi mzee? Tumekukosea nini mbona unatuonea?
BAUNSA: Nimeenda chooni mwenzenu mmoja kaja na kuniwekea pisto kichwani akadai nikikataa asinibake ananilipua na risasi ya kichwa
KAUNTA: He pole wahuni hao, sasa imekuwaje?
BAUNSA: Imekuwaje nini? Maswali gani hayo? Kwani umesikia mlio wa bunduki. Washenzi wote baa hii na sirudi tena kunywa humu.