OSHA ni nini?

OSHA ni nini?

madeinmusoma

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
326
Reaction score
391
Ni kifupi cha maneno ya kiingereza "Occupational Safety and Health Authority". OSHA ni taasisi ya serikali iliyopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na wenye Ulemavu) ambayo husimamia utekelezaji wa Sheria ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi ya mwaka 2003.

OSHA ina jukumu la kuhakikisha kwamba mazingira ya kazi yanakuwa salama dhidi ya vihatarishi vinavyoweza kuwasababishia wafanyakazi ajali ama magonjwa kutokana na kazi wanazozifanya.

#najifunza
 
Back
Top Bottom