Osama jamani mzima?

Huu ni ubaguzi wa wazi kwa watumiaji wa simu za mkononi.
kama una nokia ambayo ina real player basi fungua settings kwa real player yako alafu define acces point name unayotumia ili kupata net, alafu rudi ktk link yako ya youtube ufungue na real player itacheza hiyo picha moja kwa moja.
 
na sie wenye old fashion?
 
Back
Top Bottom