Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

Sio Osama tu, Ghadaffi yupo hai, Sokoine yupo hai, Dr Ouko yupo hai na hata Tupac yupo hai pia, ujinga ni maamuzi tu yako binafsi ukiamuwa kujiweka kwenye kundi la wajinga na mazuzu wala haina gharama.

Matolaa!Wewe Huyo!
 
Wanavyodai walimuua osama baada ya kumkuta anaishi karibu na kambi ya kijeshi ya pakistan,means pakistani walikua wanamhifadhi,hakua hata na ulinzi kwamaana alijua yuko katika eneo la usalama sana,cha kujiuliza kwanini marekani hawakuiadhibu pakstan kwa kumuhifadhi bin laden?.
Zile purukushani za kumuu bin laden zilichukua karibu saa nzima na kambi ya makomandoo wa pakistan ilikua umbali mdogo sana toka hapo lakini hakuna wanajeshi walirespond kuja kuona kinachotokea.
Conclusion ni kua issue yote ilikua stage managed

kaka hatuwezi kuhitimisha kwamba haya ni maigizo?...maoni yangu tu.
 
Kuna habari zimetolewa muda mfupi uliopita na shushushu nguli la Marekani Edward Snowden kupitia Weekleaks yake kuwa ana taarifa za uhakika kwamba Osama bin Laden yuko hai na anaishi kwa payroll ya Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA mjini Nassau katika visiwa vya Bahamas huko USA.

Chanzo: india.com reports

Kama habari hii ni ya kweli basi Marekani inatisha. Ebu wataalam wa mambo kama haya ingieni kazini mchimbe mtupe ukweli wa jambo hili maana inasemekana kuna picha za hivi karibuni zimethibitishwa kuwa ndiye na ni za kweli.
 
Hahaa! Nayaona maajabu ya musa lakn sita yastaajabu ya jembe osama
 
ni mwenyewe juzi nilikuwa naye pale kariakoo.anashangaa sana inakuwaje baadhi ya wanaccm hawaungi mkono juhudi za rais magufuli.

mwambie kuwa ktk. kundi lolote lile, ndani
yake kuna makundi yanayopingana. ni kawaida. mueleze ndani ya ccm liko kundi la el na ndilo kubwa, liko la sita na liko jingine dogo alimotoka jpm. muelezee migongano ndani ya ccm na kwanini baadhi wanampinga jpm. bila shaka nae atakueleza upinzani anaoupata ndani ya al qaeda. mtakubaliana kwamba hakuna cha ajabu jpm kupingwa na baadhi ya wana ccm. au huijui ccm?
 
Niliwahi kaweka uzi hapa ktkt ya mwaka huu kwamba Osama yupo hai lakini Moderator waliuondoa.
Kuna muandishi nguli wa habari za kivita alithibitisha kwamba Osama yupo hai na kilichotokea pakstan ilikua ni sinema tu becouse haiwezekani kikosi cha nchi nyingine kiingie ndani ya pakstan na kufanya Mission Pasipo julikana.
 
Last edited by a moderator:
Osama bin Laden is dead and buried. That is it. People can say anything for any purpose but truth is objective and will not depend on any one's wishes or desires. The truth is Osama is dead.

Osama yu hai. Zile ghiriba za kitoto za kuzikwa baharini ni Ujinga tu wenye levo za master's
 
Osama bin Laden is dead and buried. That is it. People can say anything for any purpose but truth is objective and will not depend on any one's wishes or desires. The truth is Osama is dead.
Uliuona mwili wake?
 
Kama alikufa kweli kwanini walimzika kwa kificho huko baharini?marekani inavyopenda sifa,dunia yote ingeshuhudia kama angekufa kweli na dunia yote ingeshuhudia.
 
Back
Top Bottom