Bofya hapaWatu wanadhani ya kuwa Osama bin laden alikuwa adui wa marekani lakini ukweli ni kuwa Osama alikuwa rafiki kipenzi cha marekani
...................... Usiwe na wasi wasi ! ametakasika nabii Issah (YESU) na Uzushi wenu, yakuwa MUNGU alivishwa nepi na akawa anakula mikate ! na akaenda choo !
Kwa kweli inasikitisha kuwa katika dunia hii tuna watu wengi wa aina yako.Hii ndio sababu matatizo ya dunia na ufisadi hautapungua mpaka wafuasi wa Osama washike hatamu.Wewe vp! Acha itikadi za ajabu...Osama kafa na dhambi zake ndizo zilizomua. Motoni lazima achomwe.....kaua watu kibao wasokua na hatia. Naye kaonja maiti ya mfano wa unyama alofamya kwa wengine.
Osama ni marehemu kweli lakini kifo chake hakikutokea Jumapili ya Mei mosi kwa kuvamiwa nyumba kule Abottabad.Mchezo walioucheza usalama wa Pakistan na CIA wameshindwa kujipanga vizuri.Vyenginevyo Mungu kawatia kizunguzungu kwa uovu wao.Hapo ndipo ninapoona maiti ya Osama ndiyo itakayompiga Obama.
Tayari hata Marekani kwenyewe wanataka picha na hata UN,picha hakuna na haitowezekana kuzipata.Katika ulimwengu huu kudanganya kwa kutengeneza ni tabu watu watagundua.Hivyo visingizio vya kuzuia picha vitamfanya raisi mzima aitwe muongo na hapo ndipo atakapoangushwa kwenye uchaguzi.Kumbuka Bush kwa vita hii aliondoka madarakani akiwa dhalili na hata watu kujiamini kumrushia viatu.Obama haya yako njiani kumkuta kutokana na Osama.
Osama ni mtoto wa Mohamed bin awad bin laden mtu aliyewai kupata kandarasi nyingi za ujenzi na biashara . na ukoo huu ni moja ya koo zilizowai kufanya biashara na kuwa na urafiki mkubwa na ukoo wa BUSH na watu wanadhani ya kuwa Osama alikwenda afaghanistan kwa lengo la kupigana vita tu vya ukombozi na si kwasababu ya kandarasi waliyopewa ya ujenzi wa mahandaki ya kuwasaidia wapiganaji wa teleban dhidi ya urusi na ni miongoni mwa kandarasi yenye fedha nyingi dunia kwani ilifanyaka kwenye uwanja wa mapigano
.......... dozi ndogo ndogo !!
Ndugu zanguni, nimeona tuwekane sawa kuhusu hii kolani na huyu allah pamoja na mtume wake:
Koran inasema kuwa: Hakuna mungu ila Allah, Muhammad ni mtume wa Allah.
Moja: Koran inakiri na kudai kuwa hakuna Mungu.
Pili: Koran inatufahamisha kuwa Marehemu Muham-mad ni mtume wa allah na si Mungu.
Hivyo basi, Waislam wanapo dai kuwa wao wanaabudu Mungu, ni uongo wa mchana na wanamtusi allah wao ambaye anapinga kuwepo kwa Mungu. Zaidi ya hapo, Waislam wanapodai kuwa eti Mungu wa Biblia ndie huyo allah ni uongo. Tusome Biblia na tuone inasemaje kuhusu mtu anaye sema hakuna Mungu:
Biblia inasema: Zaburi 14: 1; Mpumbavu asema moyoni mwake hakuna Mungu wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo hakuna atendaye mema.
Jibu mmesha pata kuhusu mtu yeyote yule (na/au kiumbe chechote kile) anayesema hakuna Mungu.
YouTube - 9/11 The Myth and The Reality - David Ray Griffin - Full Length Featureitakuwa vipi siku tukipata proof kwamba 9/11 ilifanywa na Waamerika wenyewe na siyo Osama
I think it is the contrary...he is just doing his home work.You must be from another planet..