Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,557
- 2,338
Hukuamini?Tuliambiwa alikuwa anajificha kwa watalebani Afghanistan kule Tora Bora na Kandahar milimani, wacha majeshi ya marekani waitwange milima hiyo kwa makombora mazito kubomoa mapango. Mara tukaambiwa kavamiwa akiwa kwenye jumba moja huko Pakistan wakamuua na kumtupa baharini ili wafuasi wake wasijue kazikwa wapi wasije wakatukuza kaburi lake