Oryx washusha bei ya gesi

Unaona sasa.
Yaani kama umekodisha fremu alafu uuze tu gesi.itakula kwako.
Bora uweke hata na vitu vya dukani vya kawaida.
Ila kwa dar watu ni wengi mzunguko wake wa gesi ni mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah dar mzunguko upo na ukiwa unafanya delivery majumbani inasaidia pia kupata wateja on time .
 
sisi wauzaji ndo tunapata shida.
Tumieni sana iishe mnunue nyingine.
Kuna mtu mtungi wa kilo 6 anakaa nao mpaka unamsahau kama alinunua gesi kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kweli aiseeh. Mi huo mtungi na ubachela wangu nakata mpaka miezi nane.
Ombeni muwe na huduma yakuweka gesi rejareja kulingana na kipato cha mteja kwa muda huo sio kusubiri hadi gesi iishe anunue nyingine ikiwa full.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gesi Ina faida ikitoka kila siku. Tatizo sasa hivi wauzaji wa gesi tumekuwa wengi sanaa.
Mtu akifungua tu duka la vitu.
Anaweka na gesi. A ongeze mapato..
Kila sehemu wanauza gesi.
Alafu kuna mtu anatumia gesi zaidi ya miezi 3 kuna hela hapo?
Wewe muuzaji gani usiyejua mzunguko wa faida kwenye mauzo ya gesi..?

Tutumie iishe kupika nini wakati chakula hakuna, mjinga wewe....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gesi Ina faida ikitoka kila siku. Tatizo sasa hivi wauzaji wa gesi tumekuwa wengi sanaa.
Mtu akifungua tu duka la vitu.
Anaweka na gesi. A ongeze mapato..
Kila sehemu wanauza gesi.
Alafu kuna mtu anatumia gesi zaidi ya miezi 3 kuna hela hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaanisha gesi ina faida ndio maana wengi wanakimbilia kuuza.
Zamani watu walikuwa hawatumii gesi kwa wingi kwa vile upatikanaji ulikuwa wa shida kwa maana ya umbali wa maduka ya gesi, gharama iliongezeka kwa kukodi gari ndio maana watumiaji gesi walikuwa wale waliokuwa na kipato cha kati. ukiacha wingi wa maduka,siku hizi wasambazaji wanapeleka bidhaa mpaka kwenye maduka ya rejereja.
 
Ninachoshauri serikali itoe ruzuku kwenye gesi ili kulinda mazingira na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni. Serikali ipige marufuku matumizi ya mkaa kwenye mahoteli makubwa yote na hoteli za kati zinazotumia mkaa kwa wingi baada ya kutoa muda wa maandalizi. Nimeshangaa hata wauza chips katika maeneo ya vijijini siku hizi wanatumia gesi.

Inatia moyo kuona kuna mwekezaji anajenga kiwanda cha kutengeneza na kujaza mitungi, kiwanda hiki kinaweza kusababisha pia bei ya gesi kushuka bora serikali iendelee kuweka mazingira Rafiki kwa mwekezaji.
 
Hapo kweli aiseeh. Mi huo mtungi na ubachela wangu nakata mpaka miezi nane.
Ombeni muwe na huduma yakuweka gesi rejareja kulingana na kipato cha mteja kwa muda huo sio kusubiri hadi gesi iishe anunue nyingine ikiwa full.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana kuna mitungi ya uzito tofauti, Hali kadhalika mwekezaji anayetegemea kujenga kiwanda cha mitungi na kujaza gesi anataka kutengeneza mitungi ya uzito tofauti na hii iliyopo sasa sokoni. sikumbuki vizuri lakini itakuwepo mitungi midogo zaidi ya hii iliyopo sasa.
 
Haukosi 4,000 faida kwa mtungi wa kilo 15.
Au 3,000 kwa mtungi wa kilo 6.
Tatizo utokaji wake ndo kimbembe .
Kuna watu wanakaa na gesi mpaka unawasahau.
Inamaanisha gesi ina faida ndio maana wengi wanakimbilia kuuza.
Zamani watu walikuwa hawatumii gesi kwa wingi kwa vile upatikanaji ulikuwa wa shida kwa maana ya umbali wa maduka ya gesi, gharama iliongezeka kwa kukodi gari ndio maana watumiaji gesi walikuwa wale waliokuwa na kipato cha kati. ukiacha wingi wa maduka,siku hizi wasambazaji wanapeleka bidhaa mpaka kwenye maduka ya rejereja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mihan niliyonayo kilo 15 nilinunua elf 44, wewe unaongelea elf 50? haya mihan nao wakipunguza bei uje utushtue..
 
Sheria inawataka wauzaji wa reje reja wawe na mizani ya kupimia gesi ili mnunuzi asipunjwe. Ukienda dukani ukakuta hana mizani nenda duka lingine lenye mizani ili ujiridhishe.
Mzani utanisaidia nini mimi mteja? Chukulia mtungi wa kg 30 unapaswa kuwa gesi 15kg na mtungi 15kg, sasa ikiwa mtungi ni 20kg na gesi 10kg ntajuaje kama nimepigwa?
 
Huo wa kg 15.bei ya jumla ni 46,000.
Faida 4,000..
Kuuza gesi kunahitaji uvumilivu.
Kuna watu wanakaa na gesi hadi miezi mitatu haijaisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Niliwahi muuliza mshikaj anayeuza...unapataje faida!..hii nayo ni biashara kichaa nisizopenda...utoke hom..ule mchana ..nauli..hujanunua maji ya kunywa...roughly kina 3000 hapo inatoka..then uje uuze mitungi 2.kwa siku! Oh no kwqngu
 
HAKUNA BUSSINESS Aiumizi KICHWA KAMA HII....WENGI WANAFUNGUA WAKIONA WATU..FANYA UTAFITI WA WINGI WA WATU KWANZA..ANGALIA UWEZO WAO..WEKA MZIGO
NINA SEHEMU NNE ZA GESI
KILA MOJA MINM KUBWA N 4/3
MINM KUBWA NAUZA 17
Z500
UJAUZA NDOGO HAPO..USIJEACHA KAZII M NILIANZA KUWA NA DUKA NIKIWA KAZINI KUSTAAFU IWE KUKUONGEZEA MITAJI TU USISUBIRI UPIGWE CHUMA NDIO UWEKEZE
 
Back
Top Bottom