niaje wakuu!
Hivi hawa oryx wamesha ita watu au bado? Mwenye taarifa tupeane
Post gani??
Tatizo kuna watu humu ndani wanapenda ubinafsi, wanaulizia kuitwa kwenye interview tu ila kuleta tangazo la kazi wakati alipoliona hakuleta! hapo ndipo inakua kaazi kwelikweli.
acha papara bwanamdogo deadline yenyewe ilikuwa jana!niaje wakuu!
Hivi hawa oryx wamesha ita watu au bado? Mwenye taarifa tupeane
Msitegemee kwamba lazima apost totolucky, Deo Benjamin au Ikumbilo.
Yeyote anaeona nafasi za kazi aweke tu hapa! !
mkuu hii job ilitangazwa sana daily news, zoom na sehem nyingine kwa mtu anaetafuta job lazma alione tu.
Kutokuweka hapa sio sababu ya kulalamika mkuu. Wanasema asiye kujua hakusamini so mtu ukipata chema huwaza kushea na wakalibu yako. Kwa wew ni ngum kuhic unatatizo sababu sijui kam unanjaa. But next time ntajitaidi pindi nipatapo vacancy. Tusilalamike muda mwengne tukubar matokeo na yatupe changamoto kufikia lengo letu

iliukuwa sales manager(lubricants) na lubricants sales repsIlikua post gani??
unaambiwa ukweli unaleta nyodo zako nyambaf******* wapigie uwaulize au nenda mwenyewe physically mbinafsi mkubwa we huna cfa ya kua mwana jf.
Aaaaaaah wapi! Kuna mtu nilimfanyia mpango kwa HR mmoja hivi, nikampa email atume cv na veti! Basi kujifanya mwema sanaaa kawapa na wezie afu vipanga zaidi yake na veti vizuri haswaaa!
HR akawapambanisha kwenye interview likachemka bwanaaaaa! Akanifata kulia lia nikamwambia ukomeeee! Kiherehere chako kimekuponza! Aliekutuma ujiongezee ushindani nani?
Ungepeleka mwenyewe ioneka kuna under application uajiriwe na ubovu wako! Mpaka leo anatafuta kazi.
Kwenye kazi hakuna urafiki, ni kama vitani! Winner takes it all!!!!!!!!!!
mkuu hii job ilitangazwa sana daily news, zoom na sehem nyingine kwa mtu anaetafuta job lazma alione tu.
Kutokuweka hapa sio sababu ya kulalamika mkuu. Wanasema asiye kujua hakusamini so mtu ukipata chema huwaza kushea na wakalibu yako. Kwa wew ni ngum kuhic unatatizo sababu sijui kam unanjaa. But next time ntajitaidi pindi nipatapo vacancy. Tusilalamike muda mwengne tukubar matokeo na yatupe changamoto kufikia lengo letu
Acha lawama wewe toa jibu kama huna piga kimya .