Orodha ya watumishi waliohakikiwa

naiomba hiyo mkuu ni pm
 
Unataka ujue kama kaachwa kimakosa um tumbue acha roho mbaya mbona wapo wengi
 

Huu uhakiki umeleta Shida nyingine hasa Mwanza, watu wengi wamehakikiwa ila majina yao hayaonekani pande zote, imelazimu kuanzia ijumaa kupeleka vyeti Jiji na kwenye ma Wilaya, watumishi wengi hawajawekwa kwenye ile orodha ya watu waliohakikiwa tuseme ni uzembe wa wachapaji au ??
 
mkuu hiyo orodha ndio tunaitaka hapa...hivi mnaipata wapi?
 

Uhakiki huu ni Jipu pia mfano mkoa wa Mwanza wafanyakazi wengi walihakikiwa ila kwenye orodha ya watumishi iliyotoka wengi hawamo na hawajaonekana upande wowote, imebidi kupeleka vyeti upya Jiji na kwenye Wilaya, tatizo ni uzembe wa wachapaji au ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…