Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 838
- 496
Hamna kaka. Hata utumishi hawajaweka.Hebu chungulia web ya Tamisemi,sidhani kama utaokosa huko..
Ni pm whatsapp number yako nikutumieWeka file hiyo ya mkoa wa pwani.
ninayo ila Sijui namna ya kuiweka hapaWeka file hiyo ya mkoa wa pwani.
Nenda reply alaf utakutaninayo ila Sijui namna ya kuiweka hapa
Naomba pia kwa watumishi wa Mkoa wa MbeyaNenda reply alaf utakuta
Option 4 inayoanza ni camera angalia ya mwisho inafanana clip pin..
Utaupload hpo
Weka! By all meansninayo ila Sijui namna ya kuiweka hapa
Kivip mkuu?Hii kitu omba isikuguse in negative ... Unaweza zimia
Ndugu zangu wengi ndiyo walikuwa mastermind wa forgery...Najua unawatafuta ubaya wachaga na wahaya..
Yaan incase mtu majina yanakosekana kwenye iyo list na kwenye feki list haukuwepo ...unaweza kuwa upset kidogoKivip mkuu?