Wadini wote wakiuawa basi nchi itakuwa na amani,, Binafsi nikiambiwa nichague wa kunyongwa kati ya Rostam Aziz na mtu mwenye udini basi nachagua mdini ndo anyongwe. Rostam alichoiba tutaweza kutafuta tena tukakirudisha, ila sumu ya udini ikishatapakaa kwenye jamii basi itagharimu maisha ya wengi pamoja na kupoteza mali kwa sababu ya migogoro isiyoisha..........