Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 680
- 2,337
Sasa ukiweka walionja joto la JIwe si utajaza kurasa kadhaa...Uzi huu ni kwaajili ya kuwakumbuka wanasiasa wote ambao kwa namna fulani wameonja joto la Rais Samia kwa kuwekwa kando ya madaraka.
Naanza na Balozi Emmanuel Nchimbi, Spika Job Ndugai.
Endelea na orodha…
Ally KibaoUzi huu ni kwaajili ya kuwakumbuka wanasiasa wote ambao kwa namna fulani wameonja joto la Rais Samia kwa kuwekwa kando ya madaraka.
Naanza na Balozi Emmanuel Nchimbi, Spika Job Ndugai.
Endelea na orodha…
Sema huyu mwamba aliuliwa kikatili sana japo anaishi,yaani ni kama mfu anayetembea.Mwamba alikuwa na majivuno sana alikuwa anaona maisha ameshayapatia tayari anasubiri tu kuwa rais😁😁January Makamba
Nusura awe presidaaaaa wetuSema huyu mwamba aliuliwa kikatili sana japo anaishi,yaani ni kama mfu anayetembea.Mwamba alikuwa na majivuno sana alikuwa anaona maisha ameshayapatia tayari anasubiri tu kuwa rais😁😁
January Makamba