Elections 2015 Orodha ya waliogombana na Magufuli na hatma zao

Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.

Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi

Mark my ward
Na bado ataendelea mpaka 2025
 

kwan maadui zako hua unawafanya nn 'USITUFANYE TUFIKILI VILE UNAVYOWAZA'
 
Kuweni na amani...administration ya Magufuli ina focus na kuwekeza kwenye mchakamchaka wa mapinduzi ya kiuchumi, kijamii na kisiasa...

Ukicheza sinema yenye maudhui haya uliyoyataja na mhusika akaiga mambo anayoyafanya Magufuli itakuwa flop from day one. Ni sawa na mtu aigize picha ya Kikristo lakini sterling wake auvae wasifu wa Mohammed.
 
Tusitarajie visasi toka kwa magufuri au slaa.maadui wao ni watendaji waovu,wala rushwa,mafisadi,wabadhirivu na wezi wa mali ya umma.hivyo kazi yako ni kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania.
Hellow..! uliona mbali aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…