Orodha ya walimu wanaohamishiwa Primary

Orodha ya walimu wanaohamishiwa Primary

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,741
Wadau hope mko salama,

Naomba kama kuna aliyepata orodha ya walimu wanaoenda Primary kutoka Secondary anisaidie hapa. Najua JF huwa hakikosekani kitu. Matumbo joto hapa. Pia niliona kuna ka alama ka figure za uhamisho....Pia nataka nione kuna Shillingi ngapi ili nifuatilie hela hizo fasta maana sio kwa mwezi huu kukaza. Asanteni.
 
Khaaaaa jamani uzi umefika huku fastaaaaaa. Ila orodha ikipatikana tu.........itawekwa jukwaa la siasa
 
Kama wewe ni mwl basi ofisi zako za kazi zina taarifa zote nenda huko utapata mubashara
 
angalia labda kwenye wavuti za tamisemi na wizara ya elimu (labda ) sina uhakika
 
Wadau hope mko salama,

Naomba kama kuna aliyepata orodha ya walimu wanaoenda Primary kutoka Secondary anisaidie hapa. Najua JF huwa hakikosekani kitu. Matumbo joto hapa. Pia niliona kuna ka alama ka figure za uhamisho....Pia nataka nione kuna Shillingi ngapi ili nifuatilie hela hizo fasta maana sio kwa mwezi huu kukaza. Asanteni.
Baadhi ya halmashauri tayari walimu wana barua ila malipo wameambiwa watadai ,hivi ni haki kweli? mbona umekuwa ni uonevu ukizingatia mtu anapelekwa karibia 7 kilometa atawahi vp kufika shule? stahiki zao wangepewa ili hata wajihamishe wawe karibu na vituo vyao
 
Sidhani walimu/wahamishwa wanatakiwa kuwa na hofu na malipo yao, maana mkuu wa nyumba alishasisitiza, mtumishi yeyote wa umma asiondoke kama hajapewa sitahiki zake, pikea barua, subiria uwezeshwaji then ndo uende.. Huna kosa kutokwenda kama hujapewa nauli na stahiki zako
 
Back
Top Bottom