Orodha ya wahitimu shahada ya kwanza waliofanya vizuri katika masomo yao

mtulivuu

Member
Dec 18, 2015
60
24
TAHLISO ikishirikiana na wizara ya elimu imetoa orodha ya majina ya wahitimu shahada ya kwanza waliofanya vizuri katika masomo yao ,wahitimu hao watafanyiwa sherehe Dodoma ambayo mgeni rasmi atakuwa waziri mkuu wa Tanzania na pia itahudhuriwa na makampuni mbalimbali binafsi na serikali.

Ushauri wa kujenga kwa hawa top performers wetu

View attachment 334612
 
Tahliso ikishirikiana na wizara ya elimu imetoa orodha ya majina ya wahitimu shahada ya kwanza waliofanya vzur katika masomo yao ,wahitimu hao watafanyiwa sherehe dodoma ambayo mgeni rasmi atakuwa waziri mkuu wa tz na pia itahudhuriwa na makampun mbalimbali bnafs na serikal.,ushaur wa kujenga kwa hawa top performers wetuView attachment 334612
f935a45e17ad28464e87db9c78af9a3d.jpg
7bb32355b6500aa7a9395a00430180f5.jpg
 
Tahliso ikishirikiana na wizara ya elimu imetoa orodha ya majina ya wahitimu shahada ya kwanza waliofanya vzur katika masomo yao ,wahitimu hao watafanyiwa sherehe dodoma ambayo mgeni rasmi atakuwa waziri mkuu wa tz na pia itahudhuriwa na makampun mbalimbali bnafs na serikal.,ushaur wa kujenga kwa hawa top performers wetuView attachment 334612
Maajabu haya, siku hizi mmeanza kulinganisha matokeo ya vyuo? Kwani nao wanafanya mtihani wa taifa?
And besides no one gives a shit on those stupid gpa's, but their relevant impact to the society..
 
Kama una kiGPA cha kijinga huna nafasi utaishia kulalama!
 
Mbona sioni vyuo Nguli kama Udsm na Sua , au huko hakuna GPA kubwa, pia mngeweka na hizo GPA , alafu vyuo vingi ni vya ,,,,,,,
 
UDSM Hamna mhhh ktk hiyo sherehe mtaulizwa hilo swali hao wageni wakuu wote wametoka hapo then why hamna BTW GPA ya UDSM hawezi ilinganisha na vyuo vingi hapo
 
Mbona sioni vyuo Nguli kama Udsm na Sua , au huko hakuna GPA kubwa, pia mngeweka na hizo GPA , alafu vyuo vingi ni vya ,,,,,,,
Vyuo vya private full kubebwa! Hamna kitu hapo.
 
Mtu anamasomo Tisa anapata A 7 mawili b + nyoo ebu nenda UDSM uone hawa jamaa Wa private wanabebana sana mpaka inaboa alafu utawasikia UDSM ilikuwa zamani au hooo chuo kigumu.....yaani mtu Wa ekenford anasema chuo kigumu na ana A sita ktk masomo 7 so utani huo pia silabasi zao hazieleki utakuta module kwao ni kozi yaani unafunduswha taaratibu ili tu ifuke miezi 4 na padri sjui nani awe na ajira kuna usanii mwingi ktk private Uni ila sio vyote
 
Yani we ndo mwakilishi wa UDSM na kuandika tu hujui,Mungu wanusuru hawa watoto wetu
 
Mbona sioni hapo GPA. Ni vigezo vipi vimetumika kutuhakikishia kuwa hao ndio wazuri zaidi. Ilitakiwa na vigezo viwepo.
 
GPA za kwenye makaratasi. Unyesheni na maendelea mliyo Fanya kwenye jamii toka mmalize name izo GPA.
 
Mtu anamasomo Tisa anapata A 7 mawili b + nyoo ebu nenda UDSM uone hawa jamaa Wa private wanabebana sana mpaka inaboa alafu utawasikia UDSM ilikuwa zamani au hooo chuo kigumu.....yaani mtu Wa ekenford anasema chuo kigumu na ana A sita ktk masomo 7 so utani huo pia silabasi zao hazieleki utakuta module kwao ni kozi yaani unafunduswha taaratibu ili tu ifuke miezi 4 na padri sjui nani awe na ajira kuna usanii mwingi ktk private Uni ila sio vyote
Tunawaona tukiwa-interview Mtu hawezi hata kuandika research proposal wakati kwenye cheti ana A ya research methodology na A ya research project wajinga sana hawa.
 
Hii ni siasa au wametumia vigezo gani?. Kila chuo si wanafanya mitihani tofauti na vyuo vingine? au wamefanyaje hapo, mimi sijaelewa kabisaa. Kama walipewa mtihani mmoja kwa vyuo vyote vilivyopo nchini mfano BBA walipewa mtihani mmoja wote hapo watakuwa wapo sawa otherwise waache siasa. wataanza na haya ya Waziri atakayefanya vizuri ktk majukumu yake atapewa zawadi na kufanyiwa sherehe
 
M nadhani tuwe hata na katabia cha kuapprreciate wenzetu .....ndo maana tunalalamika kenya wanatangaza rasilimali zetu kama zao ,wale walianza kujikubal kwanza wenyew ,tuwe proud katka vtu vyetu ....hao jamaa wametuzid tuu GPA ila tukiingia kwenye industry wote tunaanza kma trainee haijalishi ww una gpa kubwa au ww n wa udsm ,havard etc maana hata ma proffesor wetu,madocta mbalimbali wametoka vyuo tofaut tofaut...na hzo awards hajianza mwaka huu toka nyuma zilikuwepo ,let appreciate them for their performance atleast
 
Back
Top Bottom