Sijamkuta wa jimboni kwangu, lakini yote kwa yote watanzania wenzetu ambayo majina ya wawakilishi wenu yameonekana wamejigeuza kuwa makuwadi na madalali wa kuuza raslimali za nchi yetu,wameshasahau mlicho watuma bungeni ,tumalize kusema wamepoteza focus,na nyie wapiga Kura wenzetu wa majimbo yanayoongezwa na hao watu walioko kwenye orodha bila kupepesa macho geuza ncha ya pili ya upanga walioutumia kuuza raslimali zetu kwa upanga huo huo wapotezeni bila kusikiliza wanajitetea Nini! Hawana huruma hao kuendelea kukaa nao ni hasara tupu,tumia kiparata chako kuwatokomeza kabisa,ukiwalea Lea ni sawa na kukaa na chupa yasumu sebuleni