EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Orodha ya wabunge 30 waliopelekwa Dubai kupata "exposure" ya masuala ya Bandari, kabla ya azimio la bunge la kukabidhi bandari zetu zote kwa kampuni ya DP World. Majina haya yatunzwe vema. Vitabu vyetu vya historia miaka 100 ijayo vitayatumia kama refference mashuleni.!