Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,608
- 59,730
Enzi za Nyerere zipi?
Maana mimi najua ng'ombe alikuwa shilingi 100
Maana mimi najua ng'ombe alikuwa shilingi 100
huo ndo ukweli mkuu! enzi hizo ugali tu ulikuwa anasa iwe pilau!!!????Hivyo vyakula ni enzi ya mwinyi siyo nyerere hiyo bei ni miaka ya 1986-1988