Orodha ya viongozi ambao wapo madarakani lakini wapo gerezani

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,474
6,147
Salaam,

Naona mambo yamenoga sasa, hasa ya kisiasa. Hakuna mikutano ya kisiasa na nchi inakwenda. Wapo wanalia kwa sauti, wapo wanaugulia, wapo tunafurahi, wapo wanao cheka. Kila mtu na lake.

Wakulima, wafanyabiashara, watumishi wa umma, watumishi wa sekta binafsi kila mtu pia ana lakwe.

Sasa nisiwachoshe, naomba tuweke rekodi hii muhimu na tuwe tunaihuisha ya wanasiasa ambao wapo gerezani aidha mahabusu au kifungo na vyama walivyotoka kwa makosa ya kisiasa.

Twende kazi,
1.Godbless Lema----(mb)_______CHADEMA
2.Ambrose Lijualikai---(mb)______CHADEMA
 
inatakiwa bwana mkubwa afute vyama vingi vya siasa kibaki chama kimoja hukuna haja ya kuumiza watanzania wenzie atasikilizwa tu na jambo litapita yeye kwa sasa anaongoza kila idara wakumpinga nani? katiba haipo
 
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Lindi , mchezaji mahiri wa soka aliyeitumikia nchi yake kwa uzalendo mkubwa sana , Suleiman Methew
 
Salaam,
Naona mambo yamenoga sasa,hasa ya kisiasa.
Hakuna mikutano ya kisiasa na nchi inakwenda.
Wapo wanalia kwa sauti,wapo wanaugulia,wapo tunafurahi,wapo wanao cheka.
Kila mtu na lake!!!
Wakulima ,wafanyabiashara,watumishi wa umma,watumishi wa sekta binafsi------Kila mtu pia ana lakwe!!!
Sasa nisiwachoshe,naomba tuweke rekodi hii muhimu na tuwe tunaihuisha,,Ya wanasiasa ambao wapo gerezani aidha mahabusu au kifungo na vyama walivyotoka kwa makosa ya kisiasa.
Twende kazi,,
1.Godbless Lema----(mb)_______CHADEMA
2.Ambrose Lijualikai---(mb)______CHADEMA
Ni vema ukaandika viongozi wa upinzani waliowekwa mahabusu au waliofungwa jela , ikumbukwe kwamba hakuna mwanaccm aliyeko gerezani kisiasa , kama wapo ni kwa kubaka au biashara ya madawa ya kulevya , mfano halisi ni Wema Sepetu .
 
huyo wa mama aongee na mwanae wanajua ni teja kumbe wanamzunguka walimpa na mgao wanajua pesa yao itarud ccm ni noma ataanza kuweka mawakili wampige pesa wakat hakimu ni magufuli na dpp ni yeye
 
huyo wa mama aongee na mwanae wanajua ni teja kumbe wanamzunguka walimpa na mgao wanajua pesa yao itarud ccm ni noma ataanza kuweka mawakili wampige pesa wakat hakimu ni magufuli na dpp ni yeye
Hii hali ya nchi ni mbaya sana , unajua sikuwahi kufikiria nchi kama Tanzania kunaweza kutokea vita
 
huyo wa mama aongee na mwanae wanajua ni teja kumbe wanamzunguka walimpa na mgao wanajua pesa yao itarud ccm ni noma ataanza kuweka mawakili wampige pesa wakat hakimu ni magufuli na dpp ni yeye
Kwenye malipo ya MAMA SEMA NA MWANAO, daaah! Ilipigwa ndefu, mpaka aibu.
 
tz}ccm.gif
Nawatakia wanachama wenzangu hekima na umoja..kidumu chama cha mapinduzi.VIGELEGELEEE WATANZANIA!!!!
 
Back
Top Bottom