Orodha Ya Matajiri Wakubwa 40 Afrika.

Orodha Ya Matajiri Wakubwa 40 Afrika.

Hapa kinchozungumzwa sio sales turnover. Utajiri wanazungumzia thamani ya hisa alizonazo mtu kwa kila kampuni ambayo amewekeza hisa zake. Zile hisa ndio hufanyiwa tathmini na kuamua mtu ni tajiri kwa kiasi gani. Tatizo letu Tanzania inakuwa vigumu kutathmini thamani ya hisa za matajiri kwa sababu hawatoi takwimu sahihi hasa kwenye ulipaji kodi na kampuni nyingi haziko kwenye soko la hisa.

hisa si ndio shares? thamani ya mtaji wako kwenye kampuni. Na hiyo thamani inapatikana kwenye asset.Na ukubwa wa thamani ya asset ndio una determine uwezo wa biashara yako kuingiza faida, faida na mauzo ndio mpango mzima.Sasa inashindikana nini kupima mitaji ya local investors wa kibongo? Hata kama hawako kwenye soko la hisa?
 
Mmh Uhuru Kenyata ana zaid ya Billion 750 za Tz, na bado anaitafuta Ikulu ya Mwai Kibak.!?
 
  • Thanks
Reactions: kui
Slaa na Josefina wake hawajaingia na marupurupu yote wanayopata
 
hao ni wenye hela legally....ukisema waweke waafrika wote hata wale wezi nahisi 60% ya africans ni matajiri

Hizo ni fikra za hisia tu, zinaweza zikawa za kweli au la. hekima inatuonya kutobweteka na fikra za hisia. leave that in 'blacket'
 
Mbona hawajamweka yule kijana wetu wa Lake Oil, naona hii ni ya kuchakachua

Hili ndiyo tatizo kuu kwa Watanzania wengi. kwa sababu maisha yetu yamejengeka katika misingi ya uchakachuaji basi kila kitu tunafikilia ni kuchakachua.

Ndugu yangu, hizi ni nondo za kimataifa na zimefanyiwa utafiti wa hali ya juu. Ndiyo, inawezekana figure isiwe exact but approximately.

Tuondokane na mawazo ya kila kitu kuchakachua
 
may be, your the richest person in your village. who know...

Duh! Ama kweli safari ni ndefu, kuanzia tajiri mkuu ngazi ya kijiji, tarafa, kata, wilaya,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,mpaka tajiri mkuu afrika, kwa bongo hii hata bakharesa kazi anayo kufika top layer
 
Mmmh ngoja tukazane kufika huko sijui ila muhimu hata kupata kidogo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Yu a vere rait mkuu, hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya pesa na elimu ya mtu, kwani uzoefu unaonyesha wenye elimu kubwa wana take sana risk, na hivyo sio wajasiriamali wazuri, mifano ipo kibao hata hapo juu kwenye list ya matajiri afrika sijaona profesa au dr.hata hapa kwetu bongo mifano ipo mingi tu
 
Ila sisi tunatengenezwa ili tufanye kazi tena mzazi chuo anakuambia uende chuo kizuri ili kazi usikose,we are not made kuwa wajasiliamali

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hisa si ndio shares? thamani ya mtaji wako kwenye kampuni. Na hiyo thamani inapatikana kwenye asset.Na ukubwa wa thamani ya asset ndio una determine uwezo wa biashara yako kuingiza faida, faida na mauzo ndio mpango mzima.Sasa inashindikana nini kupima mitaji ya local investors wa kibongo? Hata kama hawako kwenye soko la hisa?
Unakosea sana ndugu yangu. Hisa na assets ni vitu viwili tofauti. Mauzo ni kitu kingine kabisa wakati wa kupima thamani ya mali aliyonayo mtu katika kampuni. Upimaji bora kabisa hutokea kwenye soko la hisa ambako kuna uhuru wa biashara ya hisa ambapo soko huamua thamani ya hisa kulingana na matazamio ya faida yatakayotokea kwenye kampuni. Nikuelemishe kidogo, assets za kampuni zinaweza kuwa zimepatikana kwa kukopa. Fedha za mkopo sio mali ya mwenye kampuni. Lakini huku nje kampuni inaweza kuonekana ina mali nyingi sana kumbe za kukopa. Hata huko wanakopima utajiri wa mtu wanangalia thamani za hisa zao kwenye soko la hisa wakizingatia kuwa mwenye fedha atawekeza fedha zake kwa kununua hisa kwenye makampuni yaliyoko kwenye soko la hisa. Sio rahisi kupata tajiri ambaye hisa zake haziko kwenye kampuni ambayo haijajiorodhesha kwenye soko la hisa. Kama kampuni haijajiorodhesha basi hiyo ni kampuni ndogo isiyoweza kuzalisha tajiri.
 
Kama huo ni utajiri wa asset tuu! Mbona bakhresa ana sales turn over ya $ 400 million kwa mwaka tuu.iweje asiwepo? na FDI zote alizo nazo inamaana hazifikii $ 250millioni ???
Wanaangalia net worth, i.e. the return that shareholders could receive on their investment in a company, if all of the profit earned were to be passed through directly to them. Net worth is viewed from the perspective of the shareholder, not the company.In a nutshell, Net worth ni All you own minus all you owe
 
Back
Top Bottom