Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
Wapi diamond?
Unakosea sana ndugu yangu. Hisa na assets ni vitu viwili tofauti. Mauzo ni kitu kingine kabisa wakati wa kupima thamani ya mali aliyonayo mtu katika kampuni. Upimaji bora kabisa hutokea kwenye soko la hisa ambako kuna uhuru wa biashara ya hisa ambapo soko huamua thamani ya hisa kulingana na matazamio ya faida yatakayotokea kwenye kampuni. Nikuelemishe kidogo, assets za kampuni zinaweza kuwa zimepatikana kwa kukopa. Fedha za mkopo sio mali ya mwenye kampuni. Lakini huku nje kampuni inaweza kuonekana ina mali nyingi sana kumbe za kukopa. Hata huko wanakopima utajiri wa mtu wanangalia thamani za hisa zao kwenye soko la hisa wakizingatia kuwa mwenye fedha atawekeza fedha zake kwa kununua hisa kwenye makampuni yaliyoko kwenye soko la hisa. Sio rahisi kupata tajiri ambaye hisa zake haziko kwenye kampuni ambayo haijajiorodhesha kwenye soko la hisa. Kama kampuni haijajiorodhesha basi hiyo ni kampuni ndogo isiyoweza kuzalisha tajiri.
Huyo namba moja si ndiyo muwekezaji wa kiwanda cha saruji Mtwara?
Hakika wewe ni muhuni......Wapi Sabodo mfadhili wetu.
Mmh Uhuru Kenyata ana zaid ya Billion 750 za Tz, na bado anaitafuta Ikulu ya Mwai Kibak.!?