Orodha ya marupurupu wanayolipwa wabunge na haja ya kuyapunguza

RingaRinga

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
1,038
505
Habari zenu wana JF,

Tushirikiane kuorodhesha malipo na marupurupu mbalimbali wanayolipwa wabunge katika nyakati mbalimbali. Pia tupendekeze malipo yanayoweza kufutwa au kupunguzwa, hii ni awamu ya "Bana Matumizi na Uzalendo"

NB: Anayejua aina ya malipo na kiasi chake atusaidie hapa tafadhali.
 
Ngoja waje wenyewe wazitaje. Jinsi walivyogombea ubunge na kutumia mapesa kibao leo uwaambie wakatwe income yao! , watakutukana! Si unajua watataka wafidie mapengo yaliyotokea
 
Mi najua kiasi wanachopata take home, naogopa kutaja sijui sheria za TCRA zikoje!!
 
Bunge ni.mhimili mmoja wapo wa dola, Rais hana mamlaka ya kupunguza posho au mishahara ya wabunge maana inakuwepo kisheria
 
Ni Wakati Muafaka Na Wao Wakalipakodi(PAYE) Kuanzia Mishara Yao Na Mafao Yao
 
-->>UBUNGE NI UTUMISHI
-->>UBUNGE SI UTAJIRISHO
-->>UBUNGE LISIWE JAMBO LA KUKIMBILIA,WENYE MOYO WA DHATI JUU YA MATATIZO YA WATANZANIA NA UTATUZI WAKE,NDIYO WALISTAHILI WAPIMWE NA WANANCHI,WACHAGULIWE.
n.b
****
Kwa kuwa nchi yetu bado NI masikini sana,
na kama kweli wabunge WANAUCHUNGU SANA NA WATANZANIA NA MATESO YAO!
kama siyo wanafiki!
SITTING ALLOWANCE IPUNGUZWE KWA 75%.
Kama kweli tuna dhamira ya kweli ya KUWATUMIKIA WATANZANIA.
 
ana power ya kupendekeza!
kama kweli atadhamiria!
na endapo anadhamira ya dhati!

Sawa ila itabidi aanze yy kujipunguzia kiwango kikubwa cha mshahara anaolipwa pamoja na marupurupu mengine!

Remember that Tanzania's president is one of highly paid presidents in Africa, anashika nafasi ya 5 km sikosei#
 
wanapata mkopo wa mil.90 kwa ajili ya kununulia mashangingi ambapo mil.45 hulipwa na serikali na mil. 45 hukatwa kwenye mishahara yao. hizi wamezigomea safari hii kuwa hazitoshi.
 
Sawa ila itabidi aanze yy kujipunguzia kiwango kikubwa cha mshahara anaolipwa pamoja na marupurupu mengine!

Remember that Tanzania's president is one of highly paid presidents in Africa, anashika nafasi ya 5 km sikosei#

hiyo kazi ndogo sana kwa JPM
 
-->>UBUNGE NI UTUMISHI
-->>UBUNGE SI UTAJIRISHO
-->>UBUNGE LISIWE JAMBO LA KUKIMBILIA,WENYE MOYO WA DHATI JUU YA MATATIZO YA WATANZANIA NA UTATUZI WAKEWA NDIYO WALISTAHILI WAPIMWE NA WANANCHI,TUWACHAGUE!
n.b
****
Kwa kuwa yetu bado NI masikini sana,
na wabunge WANAUCHUNGU SANA NA WATANZANIA NA MATESO YAO!
kama siyo wanafiki!
SITTING ALLOWANCE IPUNGUZWE KWA 75%.
Kama kweli tuna dhamira ya kweli ya KUWATUMIKIA WATANZANIA.
POSHO ZOTE zifutwe wabaki na mishahara kama mtumishi wa kawaida wa serikali
 
Haya cheki hapo
 

Attachments

  • 1448256408421.jpg
    1448256408421.jpg
    33.8 KB · Views: 1,281
Watanzania inabidi tulipigie kelele hili suala.Na hapa ndipo tutakapojua wabunge wenye uchungu na nchi hii na wale wapigaji
 
Hapa tunadanganyana tu, Magufuli anaangaika na vitanda Muhimbili wabunge wa Ukawa posho zao wazimetanguliza msibani na wamekataa mwili wa marehemu kuzikwa!
 
Seating allowance ni wizi wa pesa za umma mhna kweupe, maana bungeni ni ofisini kwao ni sawa na mwalimu kumlipa teaching allowance akiwa darasani akifundisha au wafanyakazi wote kupewa on duty allowances.
Hapana waifute hiyo kwanza. mtu uko kwenye ajira yako unapewa allowane ya kuwepo pamoja na mshahara kwa kanchi masikini kama aka tuseme hapana hapaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Bunge ni.mhimili mmoja wapo wa dola, Rais hana mamlaka ya kupunguza posho au mishahara ya wabunge maana inakuwepo kisheria

Hizo posho ndio Kashilila amezirudisha kwa rais jana, zenyewe hazikuwepo kisheria?
 
Back
Top Bottom