Hiyo line ya mwisho noma sana mkuu!Mnapiga story wee alafu unasikia anasema "Ebwana sasa" uwa nakata simu
Au unachat na demu anakwambia "nikwambie kitu"
Ukisikia hivyo kimbiaHiyo line ya mwisho noma sana mkuu!
chaji iliisha
Hahahhahahaaababy baadae naenda kwa aunt so sitokua hewani...ujue mzigo unaliwa kweupee..